TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Baada ya Kusoma habari na Kusikiliza simulizi za Dada mkubwa Wa marehemu Aneth Msuya Nimejaribu Kutafuta tafuta Nikaona Wauaji waliomuua Erasto Msuya (Bilionea) walionekana Kuwa na Kisasi naye. Na sasa baadaye Wauaji waliomuua Dada wa Marehemu walionyesha watu ambao Walikuwa na Hasira na Kisasi na Familia hii. Je Kuna namna ambapo Dada huyu Aneth alikuwa akihusikaa kuendesha biashara za kaka yake akiwa hai na baada ya Kufa? Je Walioachiwa Huru Katika Kesi ya Mauaji ya Erasto Ni kweli walikuwa hawahusiki au tu wameonekana hawana Hatia.
Erasto Msuya
Akiwa ameuawa Kikatili
Watu wanaofanya Mauaji ya Namna Hii Hawana adabu Kwa Serikali. Si tu wameiumiza sana Familia ya Msuya ila wametia Vidole Machoni Pa serikali kwa Kuonyesha wanaweza kufanya Unyama wowote dhidi ya Uhai wa watanzania na wakaponyoka. Kwa haki na Heshima ya Nchi yetu Naomba itumike gharama yoyote kuwatia mikononi ha hatimaye waadhibiwe vikali.