Kuchinja kuku wa kienyeji: kisu kisinolewe/kinolewe?...na kinolewe wakati gani?

Huyo kuku ni kuku kweli wa kienyeji au mixer? Angekuwa bata ningekushauri maana ana ngozi ngumu kuliko kuku wa kienyeji.
 
Nakushauri unowe kisu kwanza halafu chinja taaratibu kwa raha zako mwanawani usichinje na kisu butu kwani utamumiza bure na akipata upenyo atakimbia na kukuta wachinjaji wenye visu vikali na hutamwona tena,ohooo'
 
Lakini huyu kuku mwenyewe si yuko hapa ndani au ?? ..teteteteh..mfunge kamba tayari kwa kunoa kisu ukimaliza kunoa kisu endelea kwa raha zako ...ukitumia kisu butu AK shauri yako ..

tatizo kamba yenyewe sina hapa mknoni, mpaka nikatafute mai dia...........
 
AK-47 kunani shem?? lete nikushikie ukimaliza kunoa kisu ntakupa kuku wako......

asante shem, tatizo kamba iko mbali na kuku mwenyewe naona kama ni mnono sana sasa ina hofu anaweza kuponyoka wakati nanoa kisu.......... na kumchinja na kisu butu pia naona kama nitakuwa namuumiza na kumnyima haki yake ya .................. kwa ulaini....................

itabidi tu nikiletee unishikie nisije nikamwacha kwa wengine wakanilia kuku wangu, manake wengine naona wana uchu wa fisi..................
 
Hili hapa sio fumbo bali lugha ya mtaani
anazungumzia matumbo, usilichukulie maanani
ni kuku mwenye umbo, haenei kwenye sahani
nakujibu swali, huyu ni kuku mwenye umbo

kidosho wala mtetea, sio jibu la kutoa
usije ukamendea, mtama ukautoa
sio uchoyo natetea, hapa tushakutoa
nakujibu swali, huyu ni kuku mwenye umbo

mate yasikotoke, na tafadhali usiyamwage
kwenye mada hii utoke, nakuomba utuage
nenda kaokoke tuachie tumukarange
nakujibu swali, huyu ni kuku mwenye umbo
Beti zako tatu ndani ya matatu zimenitia
Safari ya Kibera nainyatia bila hatia
Lugha ya mtaani wewe umeitia
Kuku wa umbo mashaka yamenijaa

Mate yalishatuama midomoni
Kumeza fundo hata kwa pichani
Jawabu lako pasina lanitia shani
Kuku wa umbo wasiwasi umeniteka

Ubeti wako wa tatu watia ubabe mwingi
Wokovu ndio tumaini kwa wengi
Jibu sahihi ndilo letu msingi
Kuku wa umbo tashwishwi imenikabili
 
Nakushauri unowe kisu kwanza halafu chinja taaratibu kwa raha zako mwanawani usichinje na kisu butu kwani utamumiza bure na akipata upenyo atakimbia na kukuta wachinjaji wenye visu vikali na hutamwona tena,ohooo'

lakini mkuu, akiniponyoka wakati nanoa kisu nitamkamatia wapi tena?
 
lakini mkuu, akiniponyoka wakati nanoa kisu nitamkamatia wapi tena?

Wallahi utajuta, pindi akikuponyoka
Walaji ni wengi kuliko wafugaji
Makini sana pindi unowapo kisu
Langu shauri mapema unoe kisu
Kabla KUKU kufika kwako mawandani

KUKU alivyonona fukuto utazua na Pazia
KUKU aliyopendeza msalani kamwe hutoenda
KUKU alivyonyindiswa mkuki begani ubebe
KUKU wa kitoweo kwa jirani asiende

Mwisho namalizia huyo wa kwako sio kuku wa mnadani
 
heh pole sana kumbe tena utafute kisu ....

ni hivi mpendwa,

kisu ninacho ila kimeishachinja kuku wengi sana na kimekuwa butu, hivyo kinahitaji kunolewa. sasa nahitaji kamba nimfunge kwanza huyu kuku ndio niende kunoa kisu,vinginevyo atanitoroka nikiwa nanoa kisu..............
 
Kiongozi, funga kamba kwa maneno mazuri ukavae salama Kondom upate kuchinja vizuri kuku asiumie na wala wewe usiumie
Tatizo lake siyo kuvaa glovu,ni ubutu wa kisu!!kisu kingekuwa kinahitaji ala angesema!!!mkuu mi nadhani kama unapata shida mwachie aende akaliwe na wengine kabla hajaharibikia mikononi mwako!!!utapata tu kuku mwingine,mbona wako kibao!!au kama namna gani vipi tafuta bata,hawahitaji kisu kikali sana!!!!
 
AK-47 kunani shem?? lete nikushikie ukimaliza kunoa kisu ntakupa kuku wako......
huo usamalia huo!!!kwani na wewe unampenda kuku wake?au kisu chako kinachinja na kuku wa wengine!!!
 
Yani Akili hujatulia wewe... sasa ndo nini kumwita mwenzio kuku?... su utwambie tatizo lako nini bana...
 
Yani Akili hujatulia wewe... sasa ndo nini kumwita mwenzio kuku?... su utwambie tatizo lako nini bana...

mpendwa mi nazungumzia kuku.......... na tatizo langu je nimchinje na kisu butu aou nikinoe kwanza nikiwa nimemshikilia au nitafute kamba nimfunge kwanza ndio nikanoe kabla ya kumchinja................. mtihani ni kuwa kuku kanona ile mbaya na anaonekana anaweza kuniponyoka kabla sijamchinja.............

mwingine kashauri niwasiliane na jery muro aniambie alikonunua pingu nijaribu kumfunga kwa pingu ndo atalika vizuri............ hapo wewe unasemaje?
 
Ndugu naona unajishauri sana na maswali mengi,mlete kwangu nina kisu kizuri sana kina makali kotekote. Kingekuwa kinaazimika ningekuazima kwa muda utumie but kwa sasa mlete huyo kuku nikusaidie kuchinja,sijui unasemaje?
 
mpendwa mi nazungumzia kuku.......... na tatizo langu je nimchinje na kisu butu aou nikinoe kwanza nikiwa nimemshikilia au nitafute kamba nimfunge kwanza ndio nikanoe kabla ya kumchinja................. mtihani ni kuwa kuku kanona ile mbaya na anaonekana anaweza kuniponyoka kabla sijamchinja.............

mwingine kashauri niwasiliane na jery muro aniambie alikonunua pingu nijaribu kumfunga kwa pingu ndo atalika vizuri............ hapo wewe unasemaje?

Pingu sounds like a good idea... na ukimblindfold atakuwa mtamu zaidi...
 
Back
Top Bottom