Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
- Thread starter
- #41
Pingu sounds like a good idea... na ukimblindfold atakuwa mtamu zaidi...
hata mie naamini nikifanikiwa kumtia pingu hatanichanganya tena lakini pingu nazo kuzipata ni procedure ndefu............ mpaka sijui barua sijui vibali vya akina afande kova etc......
sasa mlolongo huo mpaka ukamilike si ntakuwa nimeishakufa njaa?????????? na kuku je, atakuwa hajaponyoka bado?????????? na kisu nitakinoa saa ngapi??????????