kuchimba dawa

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Mara ya kwanza nasafiri na basi mkoani, kufika porini kondakta WA basi anasema, haya wale wanaotaka kuchimba dawa washuke, Mara naona watu wanajisaidia haja ndogo, ala ikabidi kuuliza, kumbe huko ndio kuchimba dawa??
 
Nasikia siku hizi umekuwa mzoefu unachimba hadi ile dawa kubwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…