Kuchezewa Mume Wangu Sipendi!!!!

Status
Not open for further replies.

kumbe wizi umeanza zamani na kesho n


level gani wa level utakuwa wewe au unaiga kunya kwa tembo
 
Kuna mwenye swaliiiiiiiiiiii?
 

me na wewe nani anaandika ufyoro nenda jahazi mzeee yusufu akupe kazi


et unanibania pua ohoooo sura mbuzi
weeeeeeeeee unipishe me black beauty mtoto wa watu badoo mbichiiiiiiiiiii heeeeee haloooooooo
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiii! Uuuuuuuuuuuu! IM SCARED! IM SO TERRIFIED! IM TREMBLNG! HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!! MTU MZIMA SITISHIWI NYAU! Hujaulizwa Umesomea nini, usifosi tukuulize coz tunajua HUASOMA tutakuwa tunajichosha bureeeeeee!

Kwa taarifa yako hii ndo comment yangu ya mwisho kwako kikongwe usijielewa siku nikicomment post yako ntakuwa nshakudharilisha na you will shutup your mouth forever.
 
Kwa taarifa yako hii ndo comment yangu ya mwisho kwako kikongwe usijielewa siku nikicomment post yako ntakuwa nshakudharilisha na you will shutup your mouth forever.

Twende naye taratibu tu kamanda! Acha jazba!!
 

me genius wewe kichwani niko kamili najua wajibu wangu na ninaenda kwa ratiba


nani ana sura mbuzi ukiniona utazimia kiziwanda cha watu nikicheka nina dimpoz khaaaaaaa sio wewe gumegume la jiji hapa kitu english figure niko natural
 
 
Naomba usome PM yangu nilotuma kwako best.

Nitasoma kwa hehima yako, MSIJE KUNIZUI KUHUDHURIA WHITE PARTY BUREEEEEE! Mie sio hawa kunguni wanajificha nyuma ya keybord mwaa mzima! wakiambiwa watoke hadharani huwaoniiiiiiii!
 
I'M Glad your back I missed you.............

yule mjamaa alikuwa balaa unaletewa tu ticket na watu wake weekend hii una safari ya Dubai

ukirudi unakutana na kitu red kipyaaaaaa.....na alikuwa harudii we akikulala basi hana habari tena

Hahaahah hivi amEtokomea wapi baada ya kutoka jela?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…