Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Nimependa maelezo yako na inaonekana unauzoefu au ujuzi wa jambo hili,Naomba niwarekebishe kidogo tu wachangiaji waliotangulia, lugha sahihi kutumika kwenye uzazi ni wiki na sio miezi kwa sababu wa wiki 20 atasema miezi mitano na wa wiki 23 atasema miezi mitano wakati kuna mabadiliko makubwa hapo katikati.
Mtoto kucheza inatofautiana kutokana na mimba kama ni ya kwanza kwa mama au amewahi kubeba mimba hapo kabla.
-Kwa mimba ya kwanza ni wiki ya 18 mpaka 20
-Kwa mimba ya pili na kuendelea ni wiki ya 16 mpaka 18
upande wa mtoto kucheza sana inategemea na jinsi alivyokaa tumboni (lie and presentation), kama kichwa kipo chini na miguu ipo juu (vertex presentation) nadhani kichwa ndo kitakua chini ya kitovu na si rahisi kuchezesha kichwa sana, kama miguu na matako ndo ipo uelekeo wa chini (breech presentation) automatically kikawaida miguu ni rahisi kuchezeshwa sana kwa hiyo nadhani muone daktari wako akufanyie examination aone mtoto ana uelekeo gani, pia atakueleza vizuri zaidi.Nimependa maelezo yako na inaonekana unauzoefu au ujuzi wa jambo hili,
Naomba nami kuuliza : vipi kuhusu mtoto kuchezea sana eneo la chini ya kitovu mara nyingi kuliko upande mwingine, kuna tatizo lolote!?
Na vipi kwa mama anayelala chali japo kwa saa moja kwa siku, anaweza kusababisha madhara yoyote!?
Mkuu wewe hujui medicineNi wiki 22 for sure regardless ni mimba ya ngapi labda kama umekosea tarehe. Na kwa wakati huu unatakiwa uwe umefanya ultrasound ya kwanza.
Good explanationNaomba niwarekebishe kidogo tu wachangiaji waliotangulia, lugha sahihi kutumika kwenye uzazi ni wiki na sio miezi kwa sababu wa wiki 20 atasema miezi mitano na wa wiki 23 atasema miezi mitano wakati kuna mabadiliko makubwa hapo katikati.
Mtoto kucheza inatofautiana kutokana na mimba kama ni ya kwanza kwa mama au amewahi kubeba mimba hapo kabla.
-Kwa mimba ya kwanza ni wiki ya 18 mpaka 20
-Kwa mimba ya pili na kuendelea ni wiki ya 16 mpaka 18
Be blessed, maelezo murua kabisaupande wa mtoto kucheza sana inategemea na jinsi alivyokaa tumboni (lie and presentation), kama kichwa kipo chini na miguu ipo juu (vertex presentation) nadhani kichwa ndo kitakua chini ya kitovu na si rahisi kuchezesha kichwa sana, kama miguu na matako ndo ipo uelekeo wa chini (breech presentation) automatically kikawaida miguu ni rahisi kuchezeshwa sana kwa hiyo nadhani muone daktari wako akufanyie examination aone mtoto ana uelekeo gani, pia atakueleza vizuri zaidi.
Kuhusu kulala chali haishauriwi kwani inaweza kupelekea mimba kukandamiza mshipa wa damu unaorudisha damu kwenye moyo (inferior vena cava) ambo upo upande wa kulia, hivyo anashauriwa kulala kiubavu upande wa kushoto ambapo kuna abdominal aorta ambayo haiwezi kukandamizwa kwa kuwa ina presha kubwa na ina misuli imara.Kwa hiyo haruhusiwi kulala chali wala ubavu wa kulia.
Naijua vizuri sana, soma vizuri nilichoandika. Nimesema 22 wks for sure, hivyo by 22wks ina include the primes and the multi parous not so?Mkuu wewe hujui medicine
Quickening kwa prime gravida sio sawa na
Multi parous
Mimba ya kwanza ni week 18 mpaka 20
Mimba ya pili ni week ya 16 hadi 18
Besides i've had three babies and let me tell you never have i experienced quickening at 16, or 18 wks. The book doesn't read the patient.upande wa mtoto kucheza sana inategemea na jinsi alivyokaa tumboni (lie and presentation), kama kichwa kipo chini na miguu ipo juu (vertex presentation) nadhani kichwa ndo kitakua chini ya kitovu na si rahisi kuchezesha kichwa sana, kama miguu na matako ndo ipo uelekeo wa chini (breech presentation) automatically kikawaida miguu ni rahisi kuchezeshwa sana kwa hiyo nadhani muone daktari wako akufanyie examination aone mtoto ana uelekeo gani, pia atakueleza vizuri zaidi.
Kuhusu kulala chali haishauriwi kwani inaweza kupelekea mimba kukandamiza mshipa wa damu unaorudisha damu kwenye moyo (inferior vena cava) ambo upo upande wa kulia, hivyo anashauriwa kulala kiubavu upande wa kushoto ambapo kuna abdominal aorta ambayo haiwezi kukandamizwa kwa kuwa ina presha kubwa na ina misuli imara.Kwa hiyo haruhusiwi kulala chali wala ubavu wa kulia.
Mkuu wewe hujui medicine
Quickening kwa prime gravida sio sawa na
Multi parous
Mimba ya kwanza ni week 18 mpaka 20
Mimba ya pili ni week ya 16 hadi 18
Mimba zinatofautiana,kuna normally and abnormality ....kusema wk ya 16-18,18-20...haimaniishi wote wanatakiwa wawe hivyo....Sometimes ni kama warning signs Tu ....Alafu mambo haya ukiwa muudhuriaji mzur wa clinic hata hutokuwa NA mashaka kuusu ujauzito wakoBesides i've had three babies and let me tell you never have i experienced quickening at 16, or 18 wks. The book doesn't read the patient.
Huwa tunasemaBesides i've had three babies and let me tell you never have i experienced quickening at 16, or 18 wks. The book doesn't read the patient.
Mimi nimekuelewa ila kuna watu hawajakuelewa. Ww umwzungumzia zaidi kuwa na uhakika usio na shaka kwamba ikipita hapo basi kuna tatizo mahalaNaijua vizuri sana, soma vizuri nilichoandika. Nimesema 22 wks for sure, hivyo by 22wks ina include the primes and the multi parous not so?
Exactly.Mimi nimekuelewa ila kuna watu hawajakuelewa. Ww umwzungumzia zaidi kuwa na uhakika usio na shaka kwamba ikipita hapo basi kuna tatizo mahala
Neither does the book read the patient.Huwa tunasema
'Disease does not read books '
That is why by the 22nd week she should have experienced quickening.Mimba zinatofautiana,kuna normally and abnormality ....kusema wk ya 16-18,18-20...haimaniishi wote wanatakiwa wawe hivyo....Sometimes ni kama warning signs Tu ....Alafu mambo haya ukiwa muudhuriaji mzur wa clinic hata hutokuwa NA mashaka kuusu ujauzito wako
Nadhani mhusika alikua anaongelea "kuanza" thats why tukaongelea wiki za mwanzo, pia kuhusu kufeel quickening inaweza kua subjective issue.. inawezekana zilikuepo mapema ila wewe hukufeelWadau mtoto anaanza kuchezatumboni kuanzia mda gani? Maana mke wangu ana ujauzito wa miezi karibia sita na hakuna dalili za kurusha mateke tumboni . au kuna tatizo mwenye ujuzi tafadhari
Naijua vizuri sana, soma vizuri nilichoandika. Nimesema 22 wks for sure, hivyo by 22wks ina include the primes and the multi parous not so?
Wala utrasound hawajafanya???Hamjawahi kwenda clinic mpaka ujauzito umefikia miezi sita!? [emoji15][emoji15][emoji15]
Ahahahah aya bhana hyo yako kali sanaKuanzia wiki ya 16-18.... ikifika ya 20 hadi sarakasi humo tumboni atapiga