Habari zenu, huenda ikawa hili jambo nalipitia mimi peke yangu au hata labda kwa wengine lakini wameshindwa kuliexpose public.Kuna aina flani ya hali ambpo vinyama ktk sehem za mwili (sehem tofaut) zinacheza kwa kuhama kwa wale ambapo wamepitia au kusikia naomba tusaidiane..chanzo na tiba