Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,747
😂😂😂hapo ushamaliza mkuu?mlifunga ndoa kwenye shida na raha wewe unataka kilasiku afurahi amekua tarumbeta
Huu MSEMO ni ingizo jipya KICHWANI mwangu ☺️☺️mlifunga ndoa kwenye shida na raha wewe unataka kilasiku afurahi amekua tarumbeta
Siki ukiona mkeo hakufurahii basi tambua ulioa mke wa mwanaume mwingine, namaanisha hakua wako ulilazimisha kuishinae kwenye ndoa wakati yeye alikua anahaja na harusi tu.Tatizo wengi wanakosa upendo kutoka kwa wake zako.kama unakuta mkeo ka furaha kama andazi za mama Amina.
Hakuonyesh upendo utaachaje kuchepuka. kwa iyo usilaumu kuchepuka jiulize umekosea wap mpaka kachepuka.
Chill down mkuu, mkeo furaha yake itarejea ikiwa tu utafanya moja kati ya haya mawili.Huu MSEMO ni ingizo jipya KICHWANI mwangu ☺️☺️
NB. Nawaza kurejesha furaha ya wife maana kanishika...nime msalitii sijui itakuaje yaani
Huu MSEMO ni ingizo jipya KICHWANI mwangu ☺️☺️
NB. Nawaza kurejesha furaha ya wife maana kanishika...nime msalitii sijui itakuaje yaani
Wanawake viumbe wa ajabu sana. Leo natimiza siku ya 18 tangu kupewa tunda. Imagine na tunalala kitanda kimoja! Mtu unampapasa romantically kuwa wamuhitaji halafu yeyey anakausha kauuuuu. Kwa sasa mie nachepuka na kazi tu. Napiga kazi hadi late evening, maana sinywi pombe. Nikifika nimechoka naoga nalala.
Asubuhi naamka zangu mapema kabisa nawahi kazini. Natafuta mtu perfect wa kuchepuka nae tu kama hali inaenda hivi.
Yaani kuna muda nilihisi anachepuka nikavaa mkanda wa mabom nikahack simu yake nina access ya mic za simu yake all the time na nasikia kila mawasiliano yake aidha akiwa anaongea na watu ana kwa ana (akiwa na rafiki zake), simu zake na message zake. Hakuna shida ila ndio vile sijaona kijaruba cha bibi kwa muda mrefu kiasi hicjo.
Chill down mkuu, mkeo furaha yake itarejea ikiwa tu utafanya moja kati ya haya mawili.
Kama hana uhakika kuwa ulichepuka basi wekataa na ikibidi apia kabisa ili uokoe ndoa yako.
Kama alikukamata na anao ushahidi basi piga goti mkiwa wawili na omba msamaha kisha badilisha ratiba yako uanze kurudi home mapema na vijizawadi visikauke.
Hawa tumeumbiwa sie mazee....😂
Mkuu kuchepuka ni Hobby, kama vile kutazama mpira au kushabikia timu ya Mpira.Hakuonyesh upendo utaachaje kuchepuka. kwa iyo usilaumu kuchepuka jiulize umekosea wap mpaka kachepuka.
HeheheeKingine mwanaume show yako mbovu unalima shamba kiulegevu mkeo ataachaje kuchepuka.
That's bitter truth. Ila akifanya hivyo haitokua kisasi nayeye atakua Malaya tuFuraha yake ni kuchepuka tu kulipa kisasi
Ndio maana najipa muda kwanza wa kuona hatma ya hili bench nililosugulishwa kama Onana. Ila surely ninajikaza tu ila kidumu kimejaa sana sema ndio najipa majukumu ya kikazi saaana ili nikirejea home nikigusa kitanda tu chaliMkuu kataa kabisa stress za mapenzi.
Tafuta manzi mbali na hapo, Punguza genye na usimsumbue mtt wa watu.
Hormones zake zikikaa sawa atasema tu shida nn au anataka nn.
Vipi nje ya kitanda na huko pia kuna mkausho?Wanawake viumbe wa ajabu sana. Leo natimiza siku ya 18 tangu kupewa tunda. Imagine na tunalala kitanda kimoja! Mtu unampapasa romantically kuwa wamuhitaji halafu yeyey anakausha kauuuuu. Kwa sasa mie nachepuka na kazi tu. Napiga kazi hadi late evening, maana sinywi pombe. Nikifika nimechoka naoga nalala.
Asubuhi naamka zangu mapema kabisa nawahi kazini. Natafuta mtu perfect wa kuchepuka nae tu kama hali inaenda hivi.
Yaani kuna muda nilihisi anachepuka nikavaa mkanda wa mabom nikahack simu yake nina access ya mic za simu yake all the time na nasikia kila mawasiliano yake aidha akiwa anaongea na watu ana kwa ana (akiwa na rafiki zake), simu zake na message zake. Hakuna shida ila ndio vile sijaona kijaruba cha bibi kwa muda mrefu kiasi hicjo.