Kuchepuka raha

Mungu hapendi akifanya mwanamke eeeh?

Nafikiri nashindwa kujieleza hivyo unapata shida kunielewa! Katika ujumbe wa mwanamke ninayemjibu, nitamwingizaje mwanaume?! Mungu ameingia hapo kwasababu yeye anaona uovu wa mwanamke huyu. Na mwanaume akisema,atapewa maneno yake na Mungu ataingia katika maneno hayo.
 
shukuru Mungu wako sijakuoa mimi huo mdomo ningeuweka super glue.


sio na jipa moyo najiamini maisha yangu huyajui wewe Mrs bogasi.


sijui mnawapata wapi wanaume wa hivyoo kuwaendesha na kushindana
Mr bogasi kwani mi unanijua?
Hata ukiumia kutmbewa hakuepukiki kama nakuona nadhani tangu juzi umenuna huko ndani, vishavu kama vipulizo vya ubarikio
 
Hapo mchepuko ushamsabahi mke wa jamaa, ushamtakia asubuhi njema na lundo la mabusu
 
Sasa mbona hayo maneno ya Mungu huwa mnayakumbuka akichepuka mwanamke tu,yaani mnajikuta wachungaji ghafla. Ila akichepuka mwanaume weeeee!! Hadi na njia nzuri za kuchepuka na asigundulike mnampa.

Hebu msiwe wabaguzi bwana, nasie mtupe hizo njia.
 
MBONA MNAMLISHA MANENO DADA WA WATU? HAJASEMA ANASHINDANA.... ILA KAKOSA HUDUMA NDANI NDO KAAMUA AKAITAFUTE bahati nzuri kakutana na huduma yenye kiwango cha lami
 
Sasa mbona anatuambia mumewe anagonga sana nje. Huko nje anawezaje kuwahudumia? Na wewe ndio wale wale!!!
Hivi unadhani nje huwa wanajali kama una kibamia au mguu wa mtoto basiii!! Huko wao wanaangalia mfuko wako tu.

Hebu muache dada wa watu apate kitu roho inapenda na azidi kuilinda ndoa yake.
 
Watuu wachepukeee...!! Kila mtu ana chepukaa sema tu shida Ukijulikanaa... Ilaa kuchepuka rahaa sanaa...
 
Hizo takwimu za "kila mtu anachepuka" umezitoa wapi???
Kama una demu akoo anza kumchunguza... Soma msg zake.. Ingia kwenye acc zake za social media then utajuaa...!!
 
Sasa mbona hayo maneno ya Mungu huwa mnayakumbuka akichepuka mwanamke tu,yaani mnajikuta wachungaji ghafla. Ila akichepuka mwanaume weeeee!! Hadi na njia nzuri za kuchepuka na asigundulike mnampa.

Hebu msiwe wabaguzi bwana, nasie mtupe hizo njia.

Weka japo comment yangu moja hapa inayomtetea mwanaume anayefanya uovu kama wa huyu mama anayejisifu hapa mtandaoni. Uovu siku zote ni mbaya unapofanywa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Kwanini unapenda kuonyesha kuwa anachokifanya mtoa hoja ni halali kwasababu tu hata mume wake anafanya? Ni ujinga kufanya mashindano katika kufanya uovu!
 
Hongera Dada kaza Mwendo kama umepata raha huko, ila nakushauri hamia uko.

Kuna shida kubwa kuchepuka wengine tumechepuka tukakutana na hayo tumeona ni ujinga tumeamua kuvumilia kama wewe unashangilia kaza mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…