Kuchepuka raha


Si kweli, sio wanaume wote wanapenda kuchepuka,..mbona mi nimetulia tu jaman kama barafu.
 
Akili itakusogea muda si mrefu!
 


Mkuu nakupa Pole kwa kuwa Shetani ametumia jambo dogo kukuangusha na amefanikiwa, na baada ya hapo usiseme una Amani na utakuja hapa kujutia uamuzi wako... Yangu Macho...
 
Nakupa Pole Kisia. Siku utakapoelewa utasema Asante sana. Naishia hapo kwa leo
 


Hakuna mpumbavu mkubwa kama mwanamke ambae anamdharau mwanaume kwa sababu ya hali yake ya kiuchumi , au Hali yake ya Kijinsi.

Mpaka Mnaowana hiyo ya ubamia hukuiona? Au umeiona baada ya kuamua kuwa Malaya? Uzuri ni kwamba unachokikomesha kipo ndani ya Mwili wako wala hakipo kwenye Mwili wa Mwanaume.

Hapa ndipo tofauti kati ya Mke Bora na Bora Mke inapoanzia.. Eti Anafurahia kuchepua na bado kuna watu wanampongeza..

Nitashangaa hii Mada ikikaa hewani mpaka Jioni
 
Wakuolewa sio wewe.unawasemea watu ili uwashawishi waanze tabia ulio nayo.mungu amfunulie mapema huyo jamaa ili akumwage na huo mchepuko ukuteme ukawe mwanachama wa kambi ya fisi.pili mnashauriwa kila siku kwamba usimtegee mmeo kuwa kila wakati yeye ndo anahamu wewe huna hamasa yoyote unasubiri tu kufunuliwa kama kurasa za kitabu.
 
Hivi kwa upande wa wanawake ndo huwa mnajua kwamba kuna magonjwa wakichepuka, nyie hamjuagi eti?
Nimesema mtakuja kufa wewe na mmeo,vilevile mwanamke ni rahisi kuambukizwa ila hiyo haimfanyi mwanaume kuwa safe 100%
 
Nimesema mtakuja kufa wewe na mmeo,vilevile mwanamke ni rahisi kuambukizwa ila hiyo haimfanyi mwanaume kuwa safe 100%
Wote walewale, Hamna cha mwanamke wala mwanaume. Kama ni hivyo basi nikiwa na mchepuko sio rahisi kuambukizwa maana umesema wanaume si rahisi kuambukizwa. Kwahyo bafo usalama upo.

Kwa mtazamo wako
 
Wote walewale, Hamna cha mwanamke wala mwanaume. Kama ni hivyo basi nikiwa na mchepuko sio rahisi kuambukizwa maana umesema wanaume si rahisi kuambukizwa. Kwahyo bafo usalama upo.

Kwa mtazamo wako
Acha kuchepuka ,mweleze mmeo nae aache
 
Poleni sana,mtakuja kufa na magonjwa.Kila mchepuko una michepoko zaidi ya 5 ya pembeni ,,,,,,tafakari mkuu

Afadhali afe kwa kutafuta mwenyewe kuliko kutulia halafu unaletewa huo wa kuletewa inaumiza bora MTU uutafute mwenyewe kwa raha zako siku ukiupata utajijutia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…