Kuchepuka ni asili yetu

Sema kale ka ugonjwa kamekaa sehemu mbaya ila michepuko mitamu sn
 
af mkiulizwa mwanaume na mwanamke nani kazid umalaya wanaume mnakua wa kwanza kutusema af nikiangalia comment zenu kila mtu amechepuka na c mara moja. ayaaaaa ngoja na mim nitafute mchepuko.... any body there???????
 

Sema wewe,sio sisi.usipende ku generalize mambo.wengine tumetulia kwenye ndoa zetu.
Halafu swala la kuchepuka ni siri kubwa ya muhusika haijalishi kuna mgogoro au hakuna ktk mahusiano ya wahusika wenyewe.
sasa wewe ni mmoja ya wale ambao thread zenu ni za kulipromote ili lionekane ni jambo la kawaida na kukubalika ktk jamii yetu,hii sio sahihi.
Na ni kwamba wewe umesha li ligalize hili jambo kwa mwenza wako na sasa unajaribu kushawishi wengine wakuunhe mkono.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…