Kuchelewa kwa selection za TCU na bodi ya mikopo

Kuchelewa kwa selection za TCU na bodi ya mikopo

.. Kumekuwaaa na sintofahamu ya kwa nin selection za vyuo zimechelewa mwaka huu., jibu ni Kwamba selection za vyuo zitatoka Mwanzoni mwa Mwezi wa kumi na selection za wadahiliwa wa mikopo zitatoka Mwezi wa kumi na moja mwanzoni... Hii imesibitishwa na mmoja wa maafisa TCU alipokuwa akiituma selection report kwenye vyuo vilivyodahili wanafunzi na kuwataka wasitoe matokeo hadi mwanzoni mwa Mwezi October
Swali ni jee!! Kwanin selection hizi zichelewe na hasa izi za mikopo kutoka baada ya uchaguzi mkuu.! .. !! Nin mawazo yako mwana JF.! . Ya Kwamba fedha nyingi zimetumika kunadi wagombea husika hivyo bajet ndogo imebaki kwa kutoa mkopo kwa wanafunzi... .au ndo funika kombe kwanza mwanaharamu apite!!...
Nin mawazo yako juu ya hili mwanaJF... _

hamna ukweli hapo udsm washatoa majina yako kwenye website ya chuo kaangalie
 
... Matokeo ya udsm yaliyotoka ilikuwa ni admission report kutoka TCU Kwenda vyuo dahili kwa ajili ya kuwapatia wadahiliwa admission number hivyo ni ya kweli kabisa.. Ila yamevujishwa

kaangalie kwenye website ya udsm washaweka majina acha kuaaminisha wadau habari za uongo
 
Back
Top Bottom