Kuchelewa kwa selection za TCU na bodi ya mikopo

abovecapacity

New Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
4
Reaction score
0
.. Kumekuwaaa na sintofahamu ya kwa nin selection za vyuo zimechelewa mwaka huu., jibu ni Kwamba selection za vyuo zitatoka Mwanzoni mwa Mwezi wa kumi na selection za wadahiliwa wa mikopo zitatoka Mwezi wa kumi na moja mwanzoni... Hii imesibitishwa na mmoja wa maafisa TCU alipokuwa akiituma selection report kwenye vyuo vilivyodahili wanafunzi na kuwataka wasitoe matokeo hadi mwanzoni mwa Mwezi October
Swali ni jee!! Kwanin selection hizi zichelewe na hasa izi za mikopo kutoka baada ya uchaguzi mkuu.! .. !! Nin mawazo yako mwana JF.! . Ya Kwamba fedha nyingi zimetumika kunadi wagombea husika hivyo bajet ndogo imebaki kwa kutoa mkopo kwa wanafunzi... .au ndo funika kombe kwanza mwanaharamu apite!!...
Nin mawazo yako juu ya hili mwanaJF... _
 
Mkuu ..!
Unae source ya unachokisema tukajionee wenyewe hyo ripot ya huyo afsa..? Vijana wasije panic
 
.. Kumekuwaaa na sintofahamu ya kwa nin selection za vyuo zimechelewa mwaka huu., jibu ni Kwamba selection za vyuo zitatoka Mwanzoni mwa Mwezi wa kumi na selection za wadahiliwa wa mikopo zitatoka Mwezi wa kumi na moja mwanzoni... Hii imesibitishwa na mmoja wa maafisa TCU alipokuwa akiituma selection report kwenye vyuo vilivyodahili wanafunzi na kuwataka wasitoe matokeo hadi mwanzoni mwa Mwezi October
Swali ni jee!! Kwanin selection hizi zichelewe na hasa izi za mikopo kutoka baada ya uchaguzi mkuu.! .. !! Nin mawazo yako mwana JF.! . Ya Kwamba fedha nyingi zimetumika kunadi wagombea husika hivyo bajet ndogo imebaki kwa kutoa mkopo kwa wanafunzi... .au ndo funika kombe kwanza mwanaharamu apite!!...
Nin mawazo yako juu ya hili mwanaJF... _

Kama wewe ni mwanachuo basi tumeumia
 
acha kutuletea fununu__ umu ndani__ uje na evidence kama siku nyingne...
 
acha mawaz yako yaxokuwa na uhakka! unaevdence gan? jipange kabla hujatopost ujinga wako
 
Kwa akili ya kawaida mleta uzi yuko sahihi kwa kiasi fulani ss utegemee majibu ya mikopo yatoke kabla ya uchaguzi alafu watu wengi wakose mikopo unafikiri reaction itakuwaje kwenye kura? hawa jamaa wanaakiri sn
 
eeenh mungu Elimu ya juu tumeingiliwa tusaidie
 
yaaaah jamaa yuko sahiii mikopo had mwez wa kumi na moja mwanzoni huo ndio habar nyie mnataka source watu wengine wana baba zao na ndugu zao wanafanya huko jamen sasa mnataka. taarifa official kivip wakat kama ndugu yake anafanya huko asikwambie ww unataka official habar ndio hyo TCU mwez wa kumi mwanzon kuanzia tareh 5 na mikopo mwez wa kumi na moja hutak bassss
 
duuuuh!!! Jaman mungu saidia bodi wanionee.. Xo ina maanisha watu wanaposema udsm wametoa ni uzushi?
 
... Matokeo ya udsm yaliyotoka ilikuwa ni admission report kutoka TCU Kwenda vyuo dahili kwa ajili ya kuwapatia wadahiliwa admission number hivyo ni ya kweli kabisa.. Ila yamevujishwa
 
kuna kaukweli mkuu sema tatizo la wabongo huwa hawaamini mpaka waone wenyewe na mimacho yao. yan hata kuvuta picha hawawez daaa kwel hii ndio tanzania taifa lang
 
Nipo na mwanangu apa... Mshua wake loan officer apa katii...iyo issue ni kwelii...maana kudanganya watu sio mpngooo, wana jamvii wote ni waana ko kudanganya ni ishu ambayoo kwa miakaa hii sio ishuuu.....
 
tunaomba taasisi za elimu ziwatetee wanafunzi kuhusu mikopo kiuungwana,siasa na elimu vitenganishwe
 
Back
Top Bottom