Hapo sio tatizo lako, wala tatizo la gmail.
Issue ni server ya mpokeaji ndio tatizo.
Imeshanitokea sana kwenye maombi ya kazi, hasa kwa hawa DANGOTE, nilituma baada ya wiki nacheki naambiwa email imefeli.
Ukitaka kuamini kuwa ni tatizo la server za mpokeaji jaribu kutuma hiyo email kwa mail ya kampuni nyingine kama outlook au yahoo.