Duh, teknolojia za siku hizi bwana...mkorosho huu ni sawa na kuku wa kizungu...yaani miaka miwili tangu upandwe tayari unazaa, ni sawa na andunje...ndio maana mimi maembe na machungwa yanayozalishwa kwa namna hii huwa sili kabisa....