Kuchechemea ukikanyaga haja

hahahahahahaha we ukishaniazima hilo jiafro andika maumivu :lol:maana hamna kitakachokusaidia kuzipata tena.....cha ajabu mayai hata sili naogopa kuota nanihii ila nywele mtihani halafu uliza wapi kisogoni hahahahahahhahahah!

Dah! Kisogoni tu ndio zimenyonyoka!? Hebu angalia vizuri banaaa usikute zimenyonyoka sehemu nyingi tu hahahaha lol! (nakuchokoza).... Basi itabidi usaini makaratasi kuthibitisha kwamba kama zikiota utanirudishia nywele zangu vinginevyo itabidi nikuuzie kama utakubali bei nitakayokupangia.
 
nimekagua kwa umakini aisee...itabidi ubakie na upara kabisaaaa maana si mchezo,bora uniuzie bwana ila ntalipa kwa sekunde hahahahahahhaha!
 
Reactions: BAK
nimekagua kwa umakini aisee...itabidi ubakie na upara kabisaaaa maana si mchezo,bora uniuzie bwana ila ntalipa kwa sekunde hahahahahahhaha!

Hahahahaha lol! kama hali ni mbaya kiasi hicho basi nimebadili mawazo πŸ™‚πŸ™‚ Bora ukatafute mawig tu lol!...mie upara hata siupendi banaaa πŸ™‚πŸ™‚
 
Hahahahaha lol! kama hali ni mbaya kiasi hicho basi nimebadili mawazo πŸ™‚πŸ™‚ Bora ukatafute mawig tu lol!...mie upara hata siupendi banaaa πŸ™‚πŸ™‚
mhhh hili jisura nkilitia kwenye wigi itakuwa:hatari:ila wewe bwana umenipa matumaini halafu ukanchinjia baharini hufai!
 
Reactions: BAK
mhhh hili jisura nkilitia kwenye wigi itakuwa:hatari:ila wewe bwana umenipa matumaini halafu ukanchinjia baharini hufai!

Usihofu banaaa utapendeza tu πŸ™‚πŸ™‚, mwanzoni nilifikiria tatizo lako ni dogo sasa naona labda itabidi nikupe Afro langu lote sasa nahofia maana mie na vipara hatuna uhusiano kabisa πŸ™‚πŸ™‚
 
Umenchekesha Hussy, hivi haya majibu mnayatoaga wapi?

Great thinker huyu,
mi huwa nafurahi tu,
Mimi nmewahi kanyaga smadi
ila nilivaa kiatu, wala sikuchechemea
au samadi ya ng'ombe sio haja?
 
Hehehehe sijawahi kanyaga kwa kweli kumbe huwa wanachechemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…