Kuchapiwa ni siri ya ndani

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Nimekuwa kama samaki kutamani nisivyoviweza,Kama bahati nishapoteza kumbe ujanja kunywa mchuzi wa pweza.

Nilianza kumpenda King'asti Paw kanichapia kisa mod.
Nikakutana na atoto kisirisiri akikonyezana na Kaizer na Asprin nikahisi nachapiwa,(yaani wivu tu nahisi nimechapiwa) Manga ML mchuzi wa pweza hauzidi jero broda.
Nikasema kudadeki sasa nipo serious na cute b nikachapiwa pia
Khantwe siku hizi nipo busy na mchuzi wa pweza wiki ijayo mshenga wangu Ntuzu anakuja.
kiwatengu nimechapiwa tena bro,ila hii ni siri ya ndani


Hao wengine siwajali,please please please Husninyo.
Husninyo roho yangu niachie we nenda zako utaniua bure.
 
Last edited by a moderator:
Viol wasiwasi wako ndio anguko lako, kuhisihisi sio vizuri unaona sasa umejikosesha uhondo?? Huyo cute b tangu awali ulijua kabisaaa kuwa kuchapiwa ni lazima sasa unalalamika nini!! Kaizer is a family you know, na babu Asprin ni mchafuzi tu wa hali ya hewa hivyo hukutakiwa kabisaaa kumuweka akilini, pole sana naona hatimaye umeamua kumkumbuka zilipendwa wako Husninyo, ila Manga ML muache apumue na ajilie vyake kwa raha zake.
 
Last edited by a moderator:

Haaaa kumbe wote hao umewaonjaaa?
Ningejua ata nisingekupa uchi. Mimi majishebedua nina mume kumbe mume asha kula watu wengi ivyooo....
Ngoja na mimi nikaliwe na idadi kama iyo yako hapo then hutachapiwa tena
 
Last edited by a moderator:
Napita naenda kufunga sabato...pole mkuu viol
 

kuchapiwa ni siri ya ndani alafu Viol amekuja kulalamika.
Na apo amechapiwa mara tano tuu vipi ingekuwa kila siku? Viol hana ubavu wa kuvumilia
 
Last edited by a moderator:
kuchapiwa ni siri ya ndani alafu Viol amekuja kulalamika.
Na apo amechapiwa mara tano tuu vipi ingekuwa kila siku? Viol hana ubavu wa kuvumilia

Si ndio hapo sasa, wachache hivyo analalamikaaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…