Kuchapa watoto

 
Last edited by a moderator:
Hapa ni mwendo wa bakora na mkia wa taa....mpaka akili ziwakae sawa...maana ikiwaambia kwa mdomo wanakuona boya....
Ni mwendo stick tu..
 
Unampunguzia uhuru kivipi, mtoto unamwambia kalale yeye anang'ang'ania hataki. Sasa utamfanya nini. Unampa kofi moja hajanyamaza ameshalala

....for real mkuu?!, hapana, seriously!
HaPa ndo tunapokosea cause hatuna muda na watoto wetu, tukitumia muda kuwafunza watoto wanajifunza vizuri tu bila kuwaumiza.Tatizo ni kwamba hatuna muda wa kukaa na watoto wetu, kama umesikia Mtoto kakosea unakurupuka tu kwenda kumchapa, na wala huulizi imekuwaje mpaka wakafanyavile.
 
Hapa ni mwendo wa bakora na mkia wa taa....mpaka akili ziwakae sawa...maana ikiwaambia kwa mdomo wanakuona boya....
Ni mwendo stick tu..

...basi hata kama unajaribu kuwaambia kwa mdomo...
 


Ww ndo umeharbiwa kabisa na utamaduni wa kizungu kabisa au umepewa kibarua kwenye mashirika yao inavyoonekana.
 
Last edited by a moderator:
THing is, we're leveling kid's brains with ours, it's not the same!, and that's why tunaona wanakosea wakati kwa akili zao wanafikiri whatever they're doing is A Okay. Tukijifunza kujua kwa nini wanakosea, ttutapata njia Ambazo ni more constructive za kuwaadhibu/kuwafundidha
 






Nadhani kumchapa mtoto hakuna ubaya(hasa kwa kuangalia
umri, kosa, mwenendo)..hata kwa malezi ya kidini(Mithali
23:13)/ (Proverbs 23:13) bado inakubaliana na hilo
 
Ww ndo umeharbiwa kabisa na utamaduni wa kizungu kabisa au umepewa kibarua kwenye mashirika yao inavyoonekana.

Mkuu let's discuss the idea that's on the table, not moi!, :wacko:
 
Nadhani kumchapa mtoto hakuna ubaya(hasa kwa kuangalia
umri, kosa, mwenendo)..hata kwa malezi ya kidini(Mithali
23:13)/ (Proverbs 23:13) bado inakubaliana na hilo

Screw hayo ma-dini yenu yaliyo kuja na meli.

Mimi simpigi mwanangu bana.
 
 
Last edited by a moderator:

wwtoto hawa hawa au?
Wanakosea na mara nyengine wanafanya kusudi kukupima utareact vipi.
Mimi sijapata mtoto bado ila nalea mtoto wa dadangu na kakangu, so naishi na watoto wawili nyumbani.
Mwanzo walikuwa watukutu ni hatari, unampa hela ya tuition anaenda kwenye game, hela ya mitihani anakaa chemba.
Haikuwa ngumu kujua sababu nafatilia maendeleo yao kwa karibu na mie sipendi kupiga, nilikuwa nawapa adhabu nyengine kama ulivyosema ila wapi. Wiki inayofata mambo ni yale yale.
Nilimfungia kazi mmoja wao siku moja, nilichapa ingawa nikihakikisha simtii makovu ila ajue kuwa naweza kumpiga ingawa sitakagi kumpiga.
Huwezi amini siku hizi wako poa na wanaenda shule vizuri, mitihani na madaftari ndo kitu cha kwanza kunipa wakirudi shule tu na mimi nikiwa home.
Maendeleo poa alhamdulillah, wanafaulu kiasi kila jumamosi inabidi niweke hela ya vizawadi kwa atakaefaulu kuliko mwenzake.

Fimbo si nzuri ila zinasaidia kurudisha heshma hasa kwa mtoto anaejua hawezi kupigwa.
 
 
Last edited by a moderator:

I couldn't agree more, si unaona mkuu you didn't go from 0 to 100 in a second, uliongea nao kwanza and when that didn't work you moved to 'an advanced level of punishment', halafu hata umri wao unafaa for that kind of punishment. To top all that ukaweka zawadi kwa anayefanya vizuri, incentives is HUGE!, for kids!, na sasa wanajileta wenyewe kwako kukuonyesha vitabu vyao. Ungekuwa mkali from the beginning wasinge tamani hata kurudi nyumbani kwenye bakora.
 
 
Last edited by a moderator:
Ww ndo umeharbiwa kabisa na utamaduni wa kizungu kabisa au umepewa kibarua kwenye mashirika yao inavyoonekana.

Mbona kila kitu unachotumia ni utamaduni wa kizungu, kula kulala, kuvaa, na mengine mengi, je Kwako unakaa kwenye mkeka au makochi, unakunywa kwa kutumia kibuyu au glass, utamaduni wa kizungu ndiyo uliyotufikisha kwenye maisha ya sasa watoto ni viumbe wasioweza kujitetea so Mara nyingi Binadamu humalizia hasira zake Kwa weaker in society, Mara ngapi umesikia Mzazi kapigwa na mtoto wake,
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…