Tumekuwa na tabia katika jamii yetu ya kuwachapa watoto mpaka kuwaumiza (sometimes) kwa kuwaadhibu kama wamekosea, hii adhabu inawafundisha au kuwaumiza tu?!
Corporal punishment on children is child abuse in my view.
There are so many other ways to discipline a misbehaving child that are effective.
....sio kuwafundisha tu, inawaelimisha pia hasa pale inapotolewa kwa kuzingatia kosa husika.
...you remind me of this article by Dr Michael Dyson published in the NYT last month. Nakubali kuna njia Mbadala za kumkanya mtoto mbali ya viboko. Kukomesha viboko kunaanzia nyumbani, na baadhi ya wazazi waliadhibiwa na wazazi wao na wamekuwa wakikirithisha kitendo hiki kwa kizazi chao.
Tutambue kuwa sio waafrika na waarabu pekee wanaoendeleza adhabu hii. Wazungu baadhi wanaiendeleza na kuiondoa ili kufanya ulichoandika hapo juu inahitaji ushawishi kuanzia chumbani
Kuna mitoto usipoi chapa haiendi kabisa
Kuna mitoto usipoi chapa haiendi kabisa
Kuna mitoto usipoi chapa haiendi kabisa
I've never raised my hand to hit my daughter. Matter of fact I've never even remotely come close to it.
Mimi naamini kuwa ukijenga uhusiano mzuri na mwanao tokea akiwa mchanga basi hata kazi ya kumrudisha kwenye mstari endapo inatokea anatoka, inakuwa rahisi.
Lakini pia wakati mwingine haya mambo huwa ni mambo ya mzunguko (cycle). Binafsi sikuwahi kuchapwa wala kupigwa na wazazi wangu.
Nilipokosea waliniambia vizuri tu tena bila hata kunifokea na nilielewa nilichoambiwa nimekosea na sikurudia tena.
Hiyo ni kwa sababu nadhani baba alikuwa kajenga uhusiano mzuri sana na mimi tokea nikiwa mdogo na hivyo nilikuwa namwamini sana.
Sasa unakuta mtu anakapiga katoto ka miaka minne utadhani anapigana na mtu mzima.
That's just not right. Sasa huyo mtoto naye akija kuwa na wanae huo mzunguko wa violence si utazidi kuendelea tu.
Kupiga watoto si sawa hata kidogo.