Kushirikiana si kubaya, ila kunarudisha nyuma/kubakisha wengi sana njiani na mafanikio.
-mchango wa sendoff, harusi, kitchen party (ladies), bachelor party, ubarikio, birthday, graduation, anniversary.
-mchango wa shule, wagonjwa, jirani kafiwa.
-michango ya mtaa, timu za mpira watoto, ulinzi shirikishi..
Ni mingi kwa kweli..
Ushirikiano unahusika sana, especially inapofika zamu yako ya uhitaji.
Binafsi naona busara kua na duara la ndani (first family and close friends), kati (workmates, friends, schoolmates etc) na nnje. (Mdogo wa Binamu wa mjomba ake na yuleee ndugu wa kyela).