Kuchafuana kwa walioachana si uungwana

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Imezuka tabia ya wadau walio Katika mahusiano kuchafuana baada ya kuachana.

Unakuta watu waliishi vizuri tu inapotokea wametofautiana wakaachana unaanza kuskia mara oooo! kwanza alikuwa analima bamia mara ooooh mpira wake haujawahi fika kwa kipa,ooooh ki.........chali!

Cha kushangaza baada ya muda utaskia anataka usuluhishi warudiane.
Mwingine naye utaskia mara oooo bwaw... utazan anafgamsamaki

JE HUU NI UUNGWANA?
 
Ushamba na kutokujua maisha. inasikitisha sana mnatoleana na siri za ndani. Kuna mwamba aliachana na dem alafu mm ndio nikawanae basi jamaa alikomba kila alichompa demu kisa wameachana yaani mambo ya ajabu kweli.

Kama unajijua unatabia hiyo bora usitoe vitu basi na mkiachana mpotezee maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom