Habarini, naombeni kuuliza anayefahamu tiba ya tatizo ili la kucha kuota kurudi ndani, jinsi ya kuliondoa lisiwe linajirudia hata baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo.
Nenda kwa chiropodist au hospitali. Baada ya hii tiba tumia nail cutter kukatia kucha. Sababu ya kucha kuota kwa ndani ulisha wahi kukosea kukata kucha sasa linaota kufuatisha kosa.
Nenda kwa chiropodist au hospitali. Baada ya hii tiba tumia nail cutter kukatia kucha. Sababu ya kucha kuota kwa ndani ulisha wahi kukosea kukata kucha sasa kinaota kufuatisha kosa.