Duu! Vocha za Nokia tena!!!Na hii imekaaje ?
> Ukifika tu unidipu !
> Una vocha za Nokia ?
> Kaniletee mafuta kwenye deskintebo !
> Hembu fungua ledio klauzi !
> Ukifika tu uliza Doto ndiyo kiriofu (care of)
Hivi huwa inakuwa ngumu kusema ni beep....hahaha..nidipu iko siku mtu atasema dripu
beep =deep
beep = diku!