Kuboresha mahusiano

Kuboresha mahusiano

Ah mnakufaje kwamfano? Nyie toeni tu, na hakika mtabarikiwa, hakuna cha cost sharing kabisa, hiyo labda ahera.

Aisee wewe mwanamke nikisomaga comment zako huwa naishia kutikisa kichwa tu.
Mhhh una hatari aiseee.
 
Aisee,
Wewe ni lazima umeolewa na vile vibabu vya mjini vyenye hela.
This level of cynicism is too accute
Hapo mwisho ndio umenitusi kwa kingreza?[emoji134]
Kumbe vibabu vya mjini ndio vinahela, basi itabidi nihamie mjini maana huku kijijini kukame sana.
 
Valley bandiko limekaa safi isipokuwa kuna ubinadamu unaojitokeza na kusahau yote unayotakiwa kufanya kwa mwanamke na mwanaume. Unaweza zingatia hayo inafika mahali uvumilivu unakushinda kama mmoja wapi hatatekeleza wajibu wake
 
Valley bandiko limekaa safi isipokuwa kuna ubinadamu unaojitokeza na kusahau yote unayotakiwa kufanya kwa mwanamke na mwanaume. Unaweza zingatia hayo inafika mahali uvumilivu unakushinda kama mmoja wapi hatatekeleza wajibu wake
Inafaa kila mmoja akatekeleza upande wake. Mapenzi ya upande mmoja yanachangamoto zake na kuweza kuvumilia inahitaji moyo wa ziada.

Lakini endapo mtatendeana pande zote mbili hapo ndiomana halisi inapokuja.... Kila mmoja ni kujua thamani na umuhimu wa mwenzake
 
mama umemaliza yotee hii dhread natamani ingekuwa pinned dhread za malalamiko jf zingepungua
 
Unapompenda mtu kwa dhati yaani penzi kutoka ktk roho na moyo wako kila kitu kinakuwa laini yaani smooth utafanya kwa hiyari yako bila shurti wala hutokumbuka semina na dondoo za kimapenzi ili kuboresha penzi vyote hivyo vinakuja naturally tu.Tatizo letu siku hizi mapenz yapo ki isidingo zaidi no reality yani ni reciprocal mwanzo mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom