Kubomoa Naura Spring Hotel ni komoakomoa sio bomoabomoa

Hii nchi haiko sawa. Badala ya kusongesha maisha na uchumi mbele, tunajitahidi kurudishana nyuma kwa chuki za kijinga. SIJAONA mantiki yoyote ya kubomoa jengo hili. Limejengwa kwa fedha nyingi, watu wengi wameajiriwa hapo na inaingiza mapato serikalini. Je ni fedha kias gani zitapotea kwa kubomolewa jengo hili? Watakaokosa ajira je! Cha kushashaza wapo "WACHAWI" wanaosapoti huu ujinga kwa kuwa si majengo yao, ingekuwa yao je!
 
Mahakama ya biashara ya usuluhushi ya kimataifa kwani imeenda likizo??? Kwa hili inatakiwa ihusishwe
 
Hatukatai anatumia sheria ila sheria ikipitiliza inakuwa sio sheria tena ni udicteta kwa sbb amesaidia pia Kutoa ajira. Kwa vijana wasiokuwa na ajira. Zikibomolewa hao wafanyakazi wataenda wapi.
Ajira kwa watu wetu ya sio kigezo cha kufumbia macho uvunjifu wa sheria, tunaipigia kelele mikataba ya Madini, IPTL nk kadhalika huko kote kuna watu wetu wenye ajira na zenye mishahara minono basi tuiache tu eti kwa sababu watu wetu watakos pa kwenda.

Kwa ni nini tunafumbia macho athari z kudumu kwa vitu tunavyo weza kuvifuta leo. Vyanzo na mikondo ya mito ikiachwa iharibi leo hakuna ekolojia mpya ya mkondo wa maji itakayo zaliwa zaidi ya uharibifu na maafa tarajiwa.

Tumia akilia za kibinadamu sio samaki katika kunyambua maswala.
 
Vipi ulifanya makabrasha hapo kwa Lulu... teh teh teh

Sasa Mzee wakimpiga chini hizi Hotel zake mbili itabidi watoto warudi kuomboleza..
Haha hamna tuligongana maeneo flani kwenye viunga vya jiji moja hivi kwa stori mbili tatu ,hamna Mrema sio kufikia hapo kushindwa kuwahudumia watoto
 
sheria itabaki kuwa sheria tu. kama hawa watendaji wataifumbia macho kwa kuoneana huruma au sababu nyingine basi nao watakuwa wamevunja sharia. Wakumbuke wamekula viapo. Binafsi siwalaumu, nawapa heko
 
Jamani kujenga karibu na mto sio kosa, suala ni kujua huo mto unamatumizi gani yatakayoathilika kwa kuwepo hoteli hapo. Tuache chuki za kurudishana nyuma, na ndio asili ya wtz.
Huna unalo lijua TehTeh..sasa unasema wanamuonea...na wale wa mkwajuni na bonde la mto msimbazi hawaonewi? Sheria ni msumeno ..msumeno uliowakata watu wa mkwajuni ndio huo huo unaikata Naura...!
 
Heshima yenu wakuu,

Mimi nimeanzisha hii thread kulaani kitendo cha Watanzania kushindwa kujiongeza na kurudishana nyuma. Mimi sioni kama kuna haja ya kukomoana kwa kutumia nafasi tulizonazo kisiasa au kiuchumi.

Nianze kwa kusema kwamba Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, na Mtanzania yupo huru kuunga Mkono chama chochote anachopenda.

Usitegemee kwamba utagombea nchi ya vyama vingi wote wakuunge mkono. Huu ni wakati wa kutibu majeraha ya Uchaguzi na Kujenga Nchi yetu iwe na Umoja amani na Maandeleo sio Muda wa Kukomoana.

Nitoe tahadhari katika hili, siku zote unaweza ukamkimbiza mjusi akakimbia, lakini akiona amezidiwa anageuka nyoka na kuanza kukukimbiza wewe.

Mimi kuna Maswali yananitatiza;

1.Hili Jengo hadi linajengwa Serikali haikuwepo?

2.Je, alipewa Vibali vya kujenga na wakaguzi walilikagua?

4.Aliyeruhusu kujengwa kwa jengo hili kachukuliwa hatua gani?.

5.Kwanini Serikali isiingie garama ya hili jengo?

6.Imekuaje Kuanzia Msingi jengo mnaliona hadi lifike hatua hii ndo ulibomoe? Huu ni uzalendo?

7.Hakuna njia mbadala ya kufanya ili hili jengo lisibomolewe?

Hili jengo Mahakama ndiyo ilimruhusu ajenge baada ya kushinda kesi dhidi ya Manispaa ya Arusha kumzuia Kujenga.

Eti inavunjwa kisa ipo bondeni. Mbona maji hayaingii ndani? Mto Sanawari Miaka yote upo na hili jengo halijawahi kusitisha shughuli kisa maji yameigia wala hapajawahi kutuwama maji.

Hii itakuwa Hotel yake ya pili kuwekewa X baada ya moja ya Mwanzo kuwekewa alama ya X.Impala Hotel, Leopard Tours Offices kuvunjwa.

Kama ndivyo, Basi tufanye hii Nchi iwe ya chama Kimoja. Nchi hii ni yetu sote. Nchi kwanza Vyama baadae. Roho za kukomoana zishindwe kwa jina la Yesu.

Arusha Wamechagua Mabadiliko, Wapigwe mabomu, wapigwe risasi, wabomolewe, wanyimwe huduma za kijamii, vyovyote vile mtakavyo fanya haisadii.

View attachment 315535 View attachment 315536

Nafika sehemu anakuwa na walakini wa hizi bomoa bomoa,wakati wa kuomba kura waliingia mpaka huko mabondeni tena kwa adabu zote kuomba kura sasa hivi wa mabondeni wameonekana si kitu tena.hawa ni raia wako kwanini usiwajengee hata mahema sehemu ukawaweka halafu ndo ukawabomolea nyumba zao?unabomoa mabonde yote ina maana uko tayari kuyaendeleza kwa wakati mmoja?
Kweli hii ni komoa komoa.mpangaji tu hupewa notisi ya siku 90 lakini mwenye nyumba mmh
 
CCM ya magufuli siyo CCM ya JK,,huu ndio utawala wa haki na sheria..huyo mzee kama alitumia fedha kupindisha sheria kwenye utawala wa jk ngoja aonje joto ya jiwe!!!
Hivi hata Tanesco pale Ubungo walitumia hela sana kupindisha sheria
 
Heshima yenu wakuu,

Mimi nimeanzisha hii thread kulaani kitendo cha Watanzania kushindwa kujiongeza na kurudishana nyuma. Mimi sioni kama kuna haja ya kukomoana kwa kutumia nafasi tulizonazo kisiasa au kiuchumi.

Nianze kwa kusema kwamba Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, na Mtanzania yupo huru kuunga Mkono chama chochote anachopenda.

Usitegemee kwamba utagombea nchi ya vyama vingi wote wakuunge mkono. Huu ni wakati wa kutibu majeraha ya Uchaguzi na Kujenga Nchi yetu iwe na Umoja amani na Maandeleo sio Muda wa Kukomoana.

Nitoe tahadhari katika hili, siku zote unaweza ukamkimbiza mjusi akakimbia, lakini akiona amezidiwa anageuka nyoka na kuanza kukukimbiza wewe.

Mimi kuna Maswali yananitatiza;

1.Hili Jengo hadi linajengwa Serikali haikuwepo?

2.Je, alipewa Vibali vya kujenga na wakaguzi walilikagua?

4.Aliyeruhusu kujengwa kwa jengo hili kachukuliwa hatua gani?.

5.Kwanini Serikali isiingie garama ya hili jengo?

6.Imekuaje Kuanzia Msingi jengo mnaliona hadi lifike hatua hii ndo ulibomoe? Huu ni uzalendo?

7.Hakuna njia mbadala ya kufanya ili hili jengo lisibomolewe?

Hili jengo Mahakama ndiyo ilimruhusu ajenge baada ya kushinda kesi dhidi ya Manispaa ya Arusha kumzuia Kujenga.

Eti inavunjwa kisa ipo bondeni. Mbona maji hayaingii ndani? Mto Sanawari Miaka yote upo na hili jengo halijawahi kusitisha shughuli kisa maji yameigia wala hapajawahi kutuwama maji.

Hii itakuwa Hotel yake ya pili kuwekewa X baada ya moja ya Mwanzo kuwekewa alama ya X.Impala Hotel, Leopard Tours Offices kuvunjwa.

Kama ndivyo, Basi tufanye hii Nchi iwe ya chama Kimoja. Nchi hii ni yetu sote. Nchi kwanza Vyama baadae. Roho za kukomoana zishindwe kwa jina la Yesu.

Arusha Wamechagua Mabadiliko, Wapigwe mabomu, wapigwe risasi, wabomolewe, wanyimwe huduma za kijamii, vyovyote vile mtakavyo fanya haisadii.

View attachment 315535 View attachment 315536
Mbona tunasahau haraka sana!
Wakati wakazi wa Jangwani na mabonde mengine walipokuwa wana
Ila naanza kuingiwa mashaka na akili za Magufuli,you simply can't do this in the name of environment preservation. Only mad man can do this,not sane man!
Akiwa sane mnamwita dhaifu!
Na mlionywa kule Moro kuwa Mimi mpole natoka, Ila huyo anayekuja atakuwa mkali!
Now hebu tuambie unamtaka "Insane" au "Dhaifu"?
Heshimuni viongozi na mjaribu kuelewa falsafa za uongozi!
Uongozi wa JPM na aina ya utendaji ni matokeo ya tabia za chadema na wafuasi wake za kuandama viongozi wanaotumia busara kuwakataa na kutaka maamuzi magumu ya kutojali hisia!
Hili tutaishi nalo, na Naura nao kwa kuwa waliyataka maamuzi magumu, basi sasa wavumilie tu, maana Yale mabadiliko ya kuzungusha mikono hayapo tena, sasa ni awamu ya maamuzi magumu!
 
Nafika sehemu anakuwa na walakini wa hizi bomoa bomoa,wakati wa kuomba kura waliingia mpaka huko mabondeni tena kwa adabu zote kuomba kura sasa hivi wa mabondeni wameonekana si kitu tena.hawa ni raia wako kwanini usiwajengee hata mahema sehemu ukawaweka halafu ndo ukawabomolea nyumba zao?unabomoa mabonde yote ina maana uko tayari kuyaendeleza kwa wakati mmoja?
Kweli hii ni komoa komoa.mpangaji tu hupewa notisi ya siku 90 lakini mwenye nyumba mmh
sio kwamba notisi hawakupewa. miaka mingi wamekuwa wakiambiwa wahame
 
Wakuu,

Ni jambo la kusikitisha kwa sababu serikali muda wote ilikuwepo. Nahisi zoezi la bomoa bomoa ya majengo ambayo tayari yamefikia hatua nzuri au kukamilika, na ambayo yanajengwa au yalijengwa kwa vibali vya serikali litaigharimu serikali, CCM na Raisi binafsi. Gharama yake kiuchumi ni pale jasiri wa kwanza atakapojitokeza na kuishitaki serikali na kudai fidia . Mamia watafuata kuishitaki serikali. Pili,taifa litaathirika kiuchumi-wawekezaji wa ndani wataiona nchi yao kuwa si mahala pazuri pa kuwekeza, ajira na kodi zitapotea na attitude hii ya serikali itawaogopesha wawekezaji wa nje. Kuna uwezekano mkubwa mradi kama Naura una mkono wa benki mmoja au zaidi. Hii itaongeza kiwango cha hatari ya utoaji mikopo kwa Watanzania. Tatu madhara ya kisiasa: CCM na Raisi wajiandae kuanza kuhesabu hasara kubwa kisiasa-kwa sababu zoezi hili linagusa watu wengi na pia haki za binadamu. Zoezi hili hata mabondeni linapaswa kuwa na sura ya ubinadamu. Kosa lilishatokea huko nyuma kwa Serikali kushindwa kusimamia ujenzi na maendeleo ya makazi. Siyo rahisi kusahihisha kosa hili mara moja au kwa kuwaumiza maelfu ya Watanzania zaidi. Nilikuwa nimeanza kutafakari kuwa huenda miaka michache ijayo Tanzania itatoa Raisi mwenye sifa za kushinda tuzo la MO IBRAHIM. Naanza kufikiria tofauti.

Naona mnalialia..Mlimuita sana JK dhaifu kwakuwa alikuwa anawaonea huruma na mkasema mnahitaji Rais asiye onea aibu mtu yeyote sasa mmepata mnaanza kulialia..

Rais anatekeleza sheria...sasa mnaanza kulialia tuuu
 
Tatizo ni kwamba watu wa DSM wamevunjiwa nyumba....

Watu wa arusha mnadai eti kisa walichagua ukawa..!

Mimi nasema zivunjwe tuu ! No way
 
Heshima yenu wakuu,

Mimi nimeanzisha hii thread kulaani kitendo cha Watanzania kushindwa kujiongeza na kurudishana nyuma. Mimi sioni kama kuna haja ya kukomoana kwa kutumia nafasi tulizonazo kisiasa au kiuchumi.

Nianze kwa kusema kwamba Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, na Mtanzania yupo huru kuunga Mkono chama chochote anachopenda.

Usitegemee kwamba utagombea nchi ya vyama vingi wote wakuunge mkono. Huu ni wakati wa kutibu majeraha ya Uchaguzi na Kujenga Nchi yetu iwe na Umoja amani na Maandeleo sio Muda wa Kukomoana.

Nitoe tahadhari katika hili, siku zote unaweza ukamkimbiza mjusi akakimbia, lakini akiona amezidiwa anageuka nyoka na kuanza kukukimbiza wewe.

Mimi kuna Maswali yananitatiza;

1.Hili Jengo hadi linajengwa Serikali haikuwepo?

2.Je, alipewa Vibali vya kujenga na wakaguzi walilikagua?

4.Aliyeruhusu kujengwa kwa jengo hili kachukuliwa hatua gani?.

5.Kwanini Serikali isiingie garama ya hili jengo?

6.Imekuaje Kuanzia Msingi jengo mnaliona hadi lifike hatua hii ndo ulibomoe? Huu ni uzalendo?

7.Hakuna njia mbadala ya kufanya ili hili jengo lisibomolewe?

Hili jengo Mahakama ndiyo ilimruhusu ajenge baada ya kushinda kesi dhidi ya Manispaa ya Arusha kumzuia Kujenga.

Eti inavunjwa kisa ipo bondeni. Mbona maji hayaingii ndani? Mto Sanawari Miaka yote upo na hili jengo halijawahi kusitisha shughuli kisa maji yameigia wala hapajawahi kutuwama maji.

Hii itakuwa Hotel yake ya pili kuwekewa X baada ya moja ya Mwanzo kuwekewa alama ya X.Impala Hotel, Leopard Tours Offices kuvunjwa.

Kama ndivyo, Basi tufanye hii Nchi iwe ya chama Kimoja. Nchi hii ni yetu sote. Nchi kwanza Vyama baadae. Roho za kukomoana zishindwe kwa jina la Yesu.

Arusha Wamechagua Mabadiliko, Wapigwe mabomu, wapigwe risasi, wabomolewe, wanyimwe huduma za kijamii, vyovyote vile mtakavyo fanya haisadii.

View attachment 315535 View attachment 315536

Majipu Siyo TRA na TPA tu,,

Afu mbona humtaji huyo mmiliki unaemuonyesha ni mfuasi wa ukahawa na namna zoezi linavyokomoa ukawa?

sijakuelewa uhusiano uzungumziao huo,,
 
Ingekuwa vyema serikali kutaifisha hayo majengo kuliko kubomoa huu sasa ni uwendawzimu! Kama kiwanja ni mali YA serikali basi vyema kutaifisha hizo mali. Akili nyingi au ndogo huondoa maarifa!????
 
Kwa maelezo ya figanigga ni kuwa mwanzo mwenye Naura alikatazwa na manispaa kujenga akakimbilia mahakamani na kushinda kesi. Kimsingi huyo mmiliki avumilie maumivu anayoyapata kwa sasa kwa kiburi chake cha mwanzo. Vinginevyo serikali itumie busara kulinda ajira za watu hapo Naura.
 
Back
Top Bottom