Mkuu rombo kuna kitu hujakimalizia katika hiyo Modem yako kwani ni kweli kabisa simu zinazoingia au hata kupiga huwa namba inaonekana lakini kama ulisave majina baada ya kukata yanarudi majina
Fungua Tools juu kabisa ya desktop ya Huawei
-Option
-Calls
-Visual prompt on incoming calls (hapo kuna kisanduku weka V (tik)
-OK umemaliza
Naona itasaidia