Sa ndugu yangu ukimblock ndo itasaidia nini? au ameshakutaperi?
Sa ndugu yangu ukimblock ndo itasaidia nini? au ameshakutaperi?
Ndio inawezekana.unaweza kua blocked na wewe pia ukablock vile vile.
sjui labda ujaribu kumeka ignore list
Kwa nlivoelewa yeye ndo anahisi kawa blocked
lengo nataka kujua kama kaniblock so message zangu hazimfikii
msaidieni amblokuee mwezie.hizi lugha hizii
me sio mtaalam sana watakuja watakujuza kua na subra mkuu
mwingize kwenye ignore list .. lakini akipost kitu huoni na wala wewe huwezi kuona post zako
thanks for showing care
got it wrong dear, mi ndo nina shida zaidi ya kuwasiliana nae