Betting kama madawa ya kulevya, ni ngumu kuacha, we fikiria umeweka jero unaambiwa ukipatia ubashiri wako unakula zaidi za mil. 2, hapo kuna haja ya kuangaika na kusoma badala ya kuombea matokeo yawe kama ulivyotabili.
Kuna jamaa yangu leo kapiga milioni 2 na aliweka 3000 kwa game 6Hahaaa mbn mm nmeacha mkuu, tatzo watu weng kubeti wanachukulia km sehem ya kupata hela ila ukichukulia kubeti ni mchezo tu mbn simple haukutawali ht kdg
Point yako nzuri sanaMara nyingi darasa likiwa na wavulana wasiojielewa, lazima huo ujinga wa wavulana uwaathri hadi wasichana, ni wasichana wachache mno watakaopona. Ila darasa likiwa na wavulana serious, wasichana huwa wana-behave hata kwa ku-pretend tu!