Kanda2,mkuu unajichanganya umesema hapo juu kuwa huna uwezo wa kupata Laptop halafu leo umetuma ujumbe mwingine ukisema unao uwezo wa kupata hizo Laptop lakini sio priority kwako.
kingine unaposema wewe huwa hutoa ahadi jee hutakuwa na Manifesto kwenye kampeni zako?
Sijawahi kuona siasa ambazo hazina AHADI iwe America,ulaya au Africa. Kama ajira OBAMA aliahidi kuzalisha ajira,na JK naye aliahidi hivyo hivyo. Ameanza kwa kufungua chuo kikuu cha DODOMA na miradi mingine. Mtu hupimwa kwa ahadi zake. Huwezi kufanya siasa za kufikirika.
Gordon Brown na David Cameroun wanatoa ahadi kila siku ambazo zingine hazitekelezeki ingawa wako ulaya ndio siasa. Kwa mtindo wako huo sidhani kama ubunge ni mahala pako lazima ubadilike.
Niambie mbunge gani mkweli kuanzia vyama vya upinzani hadi tawala? Wewe utakuwa malaika? Mfano utaenda kwa waziri wa miundombinu atakwambia kuwa barabara ya kyela itajengwa kwenye bajeti ya 2010/2011 wewe kama mbunge ukitoka hapo utaenda kuwaeleza wananchi wako kuwa barabara hiyo itajengwa muda ujao. Halafu wizara ghafla inabadilisha ratiba hiyo, hayo yanatokea sana.
Chesty,Mhh...wewe ni Mwakalinga? Si ungesema mimi badala ya Mwakalinga? anyways, i might be wrong though...ila i wonder...!
-
- Sasa ni vyema Kubenea akaja kutolea maelezo hizi habari zenye wekundu, in the meantime bado tunaendelea na juhudi za kumtafuta, maana alisema mwenyewe kwamba Mwanahalisi ni upanga kwa upanga, je ni theory for the truth au majungu?
Respect.
FMEs!
.Bwa ha ha ha,
Mwakalinga na wapambe wake wamekosa cha kusema kuhusu Mwakyembe na sasa wameishia kutafuta adui mpya.
Bwa ha ha ha,
Mwakalinga na wapambe wake wamekosa cha kusema kuhusu Mwakyembe na sasa wameishia kutafuta adui mpya.
.
Mwaafrika.
Hakuna aliyekosa la kuongea na wala hatutafuti adui mpya.
Tunachosema hapa,kwann huyo kubenea asijitokeze kujibu shutuma za taarifa za uzushi?.
Wewe mwenyewe unaadika kisehemu kwenye gazeti la Mwanahalisi,kwanini usimshauri mshikaji wako kuachana na ufisadi huu wa kupewa pesa na wana siasa ili awaasafishe na kuwachafua vijana wanaojitokeza kugombea ili kuleta maendeleo jimbon?
magoli said:kwanza inabidi urudishe pesa zote ulizozipata mwanahalisi mwaka huu. Jitu limejaa chuki kwa vijana wote wa Tanzania kuanzia Kingunge (miaka 300) hadi Mwakalinga (miaka 44) hata halina aibu.
hiloo limwafrika la mwanahalisi hiloooooo
wivu tu umekujaa, kama umeshindwa kusoma porraaandi, basi tuachie sisi wasomi wa porrrrraaandi tuje kuendeleza nchi
Mtanzania/Mwakalinga
Asante mkuu kwa maelezo yako ijapokuwa Kubenea aligusa gusa ila kumbe kuna ka ukweli tatizo nilionalo Kubenea ametia chumvi.
Nina kaswali naomba nikuulize, KWA NINI HUKUMUONA/MUULIZA DR. MWAKEYEMBE KAMA ANAGOMBEA AU LA? Asante sana na heshima mbele
you sound like ZITTO😀Mimi ninachopata tabu ni aina ya watanzania wa leo tulivyo. We dont deal with facts. Huyu akisema hivi umma unakubali....akitokea mwingine akisema vile umma nao una hama unamwamini aliyepinga. Sasa tumemlaumu Kubenea na gazeti lake, sina tatizo na waliomlaumu lakini nawaomba niwaulize...mmethibitisha wapi kuwa aliyoyasema huyo anayejiita Mwakalinga/ Mwafrika kama ni kweli? Au mmepumbazika na vi evidence na vitarehe alivyovitaja hapo na jinsi alivyo mahiri kupiga "siasa" zake?
Lets deal with facts guys. Mi nawaona wote Kubenea na huyo Mwakalinga wote wamepotoka. Kwenye stori ya Kubenea kumeongezwa chumvi na kwenye stori ya huyu Mwakalinga kumeongezwa chumvi pia ila kuna UKWELI flan kwenye stori ya Kubenea. Na kiukweli ni kuwa ubunge wa Mwakyembe uko shakani sababu watu wengi wanautaka.....Mwakalinga anautaka (mtetezi wake humu JF amethibitisha) Mwakipesile nae anautaka....Na wengine waliotajwa wanautaka sasa ki ukweli ubunge wake upo shakani. Ni sawa na Ubungo, huwezi kusema ubunge wa Keenja haupo shakani kwakuwa kila mtu anapataka ubungo. Nape, Mwangunga,Mnyika na wengine.
Msimchafue Kubenea.
Mimi ninachopata tabu ni aina ya watanzania wa leo tulivyo. We dont deal with facts. Huyu akisema hivi umma unakubali....akitokea mwingine akisema vile umma nao una hama unamwamini aliyepinga. Sasa tumemlaumu Kubenea na gazeti lake, sina tatizo na waliomlaumu lakini nawaomba niwaulize...mmethibitisha wapi kuwa aliyoyasema huyo anayejiita Mwakalinga/ Mwafrika kama ni kweli? Au mmepumbazika na vi evidence na vitarehe alivyovitaja hapo na jinsi alivyo mahiri kupiga "siasa" zake?
Lets deal with facts guys. Mi nawaona wote Kubenea na huyo Mwakalinga wote wamepotoka. Kwenye stori ya Kubenea kumeongezwa chumvi na kwenye stori ya huyu Mwakalinga kumeongezwa chumvi pia ila kuna UKWELI flan kwenye stori ya Kubenea. Na kiukweli ni kuwa ubunge wa Mwakyembe uko shakani sababu watu wengi wanautaka.....Mwakalinga anautaka (mtetezi wake humu JF amethibitisha) Mwakipesile nae anautaka....Na wengine waliotajwa wanautaka sasa ki ukweli ubunge wake upo shakani. Ni sawa na Ubungo, huwezi kusema ubunge wa Keenja haupo shakani kwakuwa kila mtu anapataka ubungo. Nape, Mwangunga,Mnyika na wengine.
Msimchafue Kubenea.
Huyu ni the same member aliyekataa hapa kata kata kuwa yeye siye Mwakalinga (na hata habari za kugombea ubunge alizipinga hapa kiaina). Credibility ya Mwakalinga iko chini sana kiasi cha kuhitaji Kubenea aje kujibu.
Kubenea alipozushiwa na Zitto Kabwe hapa jamvini, alikuja haraka sana na kuweka record clear.
mnapozungumzia ufisadi basi ndiyo huu pia maana mwenye gazeti/mhariri ananunuliwa na matokeo ni hayo.haya mtanzania!
Kwanza poleni na barafu
pili anza utetezi wako with immediate effect!
mnapozungumzia ufisadi basi ndiyo huu pia maana mwenye gazeti/mhariri ananunuliwa na matokeo ni hayo.
huyo mzee rc-mbeya mbona alikwisha sema kuwa hana nia ya kugombea? Na kuchukiwa kwa profesa mwandyosa na rais mbona sisi ambao tupo huku tumesikia kwa masikio yetu wakati rais akimsifu mbunge huyu huko jimboni??
kwani mwakyembe ana hati miliki ya jimbo hili?? Kama kweli anakubalika basi simuwaachie wananchi??? Au mnaona wananchi ni mbumbumbu???
acheni umamluki jamani . Hivi lowasa na kina rostam wanahusikaje na jimbo la kyela??? Hadithi ya kuwa kila mbunge ambaye anaogopa ushindani kwenye jimbo kuimba nyimbo ya ufisadi ina boa sana
Ogah,
Ni rahisi sana ukiwa pembeni kuandika kama ulivyoandika. Lakini kwa mtu ambaye sasa miezi minne anatolewa kwenye magazeti ya nchi kwamba ni fisadi, kibaraka wa mtu, katuma vijana kuchoma mtu kisu, kamwagiwa mapesa na ujinga mwingine ambao hauna hata chembe ndogo ya ukweli. Hata watu ambao hawakujui wanaanza kuamini kwamba wewe ni mwizi. Inafika sehemu unasema enough is enough, siasa za jino kwa jino nazo zinafanywa na binadamu. Fuata sheria na maadili ya kazi yako, hakuna atakayekugusa. Ni maadili gani ya uandishi wa habari hao tunaowajadili hapa wanafuata?
Mkuu nimejifunza, Nipashe waliandika mambo ya hovyo hivyo hivyo. Msamalia mmoja wa JF hapa akaniunganisha na mhariri wao na nikaamua kuwa muungwana. Nikampigia simu kumwambia habari mliyoandika haina ukweli kabisa, chunguzeni. Kesho yake ndio akatoa makubwa zaidi kwamba kuna sms zimekutwa zikionyeshwa pesa zinavyosambazwa kutoka nje kupitia Arusha. Huku akijua ni uongo mkubwa wala hakuna kitu kama hicho. Unataka mtu kama huyo nimwambie nini tena zaidi ya lugha anayostahili? Kuna siku nitamwona uso kwa uso na nimwambie lugha anayostahili.
Nimetumia jina langu ili kila mtu awe una uhakika 100% kwamba alieandika ni Mwakalinga mwenyewe..
Uzuri wote wanaotumia magazeti yao kuchafua watu wengine wanajulikana. Na kila baya mtu analofanya kuna siku utawajibika nalo tu.
Hakuna anayekataza mwandishi kumchunguza mwanasiasa na huko kugundua scandals zilizojificha na kuzianika. Lakini sio sahihi kusema umemkuta Ogah anaiba kuku, huku unajua kabisa hujamwona Ogah popote hata akiiba kitumbua.
Umeshindwa nini kuniuliza mimi Mwakalinga aka Mtanzania kujua ukweli?
Nimeipenda hii! Kumbe ndio wewe na kwa nini uendelee kutumia anonimity?
Mmezunguka kutafuta uchafu wowote na mmeshindwa sasa mnataka kumchafua mtu kwa kumhusisha kwa karibu na watu ambao mnawaona wachafu.
Mh mtarajiwa acha jazba.
Tatizo lenu ni kwamba hamuwezi hata sehemu moja kupata mahali ambapo Mwakalinga yuko karibu au hata anafahamiana na akina Lowassa, RA, Karamang au huyo Patel.
Kanusha uhusiano wako na watajwa badala ya kuegemea kwenye ushahidi ambao it is easier to temper with.
Sasa mnaanza majungu mengine ya kijinga, lakini na yenyewe yataishia patupu maana hamna data na uongo haudumu hata siku moja.
Acha matusi kwani yanaonesha kuwa kumbe na wewe ni wale wale wasiojibu hoja na badala yake wanatukana.
Kumbe ndio maana watu wengine mnamwagiwa tindikali shauri ya kuandika majungu ambayo hayana ukweli hata mdogo. Ni taaluma gani hizo za kutumiwa na wanasiasa kuandika kila wanalotapika?
Je nawe washabikia uhalifu? Na huoni kama utakuwa kikwazo katika vita dhidi ya uhalifu ambao ndio uliyojenga mafisadi?
Shame on You Kubenea and your Newspaper!
Una posts 39 nafikiri you are a new kid in the block. Huyo Mwakalinga (Mtanzania) anajulikana kwenye maisha ya kila siku na wengi tu hapa JF na pia yupo hapa kijiweni tokea kule kilikoanzia Business Times.
Kama alichoandika kingelikuwa uwongo au kutia chumvi ungeona wana JF ambavyo wamengemwumbua. Hapendwi mtu hapa JF bali ukweli.
Kubenea kashindwa kuja kwasababu kagundua makosa makubwa sana kwenye hiyo habari yake. Zaidi ya asilimia ya alichoandika kuhusu Mwakalinga ilikuwa ni uwongo.
Inachotakiwa ni kukubali ukweli na kumwomba msamaha Mwakalinga kwenye toleo lijalo la gazeti lake, akishindwa kufanya hivyo jua kuna watu hapa JF hatapumua hata siku moja. Kila siku watakuwa wanamwambia kajibu tuhuma za kule kwa Mwakalinga.
Una posts 39 nafikiri you are a new kid in the block. Huyo Mwakalinga (Mtanzania) anajulikana kwenye maisha ya kila siku na wengi tu hapa JF na pia yupo hapa kijiweni tokea kule kilikoanzia Business Times.
Kama alichoandika kingelikuwa uwongo au kutia chumvi ungeona wana JF ambavyo wamengemwumbua. Hapendwi mtu hapa JF bali ukweli.
Kubenea kashindwa kuja kwasababu kagundua makosa makubwa sana kwenye hiyo habari yake. Zaidi ya asilimia ya alichoandika kuhusu Mwakalinga ilikuwa ni uwongo.
Inachotakiwa ni kukubali ukweli na kumwomba msamaha Mwakalinga kwenye toleo lijalo la gazeti lake, akishindwa kufanya hivyo jua kuna watu hapa JF hatapumua hata siku moja. Kila siku watakuwa wanamwambia kajibu tuhuma za kule kwa Mwakalinga.
mnapozungumzia ufisadi basi ndiyo huu pia maana mwenye gazeti/mhariri ananunuliwa na matokeo ni hayo.
huyo mzee rc-mbeya mbona alikwisha sema kuwa hana nia ya kugombea? Na kuchukiwa kwa profesa mwandyosa na rais mbona sisi ambao tupo huku tumesikia kwa masikio yetu wakati rais akimsifu mbunge huyu huko jimboni??
kwani mwakyembe ana hati miliki ya jimbo hili?? Kama kweli anakubalika basi simuwaachie wananchi??? Au mnaona wananchi ni mbumbumbu???
acheni umamluki jamani . Hivi lowasa na kina rostam wanahusikaje na jimbo la kyela??? Hadithi ya kuwa kila mbunge ambaye anaogopa ushindani kwenye jimbo kuimba nyimbo ya ufisadi ina boa sana
Ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku. Yaani kwa vile mtu ana post 39 basi hoja zake zipuuzwe? Timu mwakalinga bwana wanazidi kujichefua na kujidhalilisha. Mara wajisifie shule walizosoma, mara wajisifie GPA zao, kisha wajisifia kiwango cha pesa walichonacho, kabla ya kusifia redio yao kule Kyela.
Yaani misifa tupu, watu kama hawa wakipewa kuongoza nchi, hata marehemu mobutu wa congo atakuwa bora mara mia.
Hata mimi ningekuwa Kubenea nisingekuja hapa kubishana na mtu ambaye hana msimamo na hajui anachokifanya. Asubuhi anataka kugombea ubunge, mchana anataka udiwani, usiku anataka kufanya biashara na kina Rostam.
Kuwa na msimamo ndio utaeleweka
Hao watu watakuwa kina zaidi ya wafuatao - mkulima, samwel, magoli, mtanzania, na yule mwingine (ambao wote IP add zao zinaonekana kutokea sehemu fulani).