Kubenea: Lowassa ameonesha njia

kubenea asipokuwa makini kwa maandiko kama haya atajikuta jimbo anapewa Boniface Jacob kugombea kwa maana anajitahidi sana kujijenga.
 
Hakika mkuu.
 
Mzee Pandikizi la Lumumba huyu , I knew this ever since he stepped his feet into the party
 
Hivi si aende hata "SAU" huko..

EL hajawahi kuwa mpinzani. Yupo kimaslahi tu.

Na nyie watu mliokuja CDM na basi la "ULIPO TUPO" muondoke muiache CDM halisi.

NB: sikushambulii wewe niliyeku quote ila nakazia hoja yako. Hawa kina kubenea ni wapuuzi.

Bora na magazeti yake yapo kifungoni maana saivi yangekuwa yanaandika uwongo mwingi kuhusu EL na maongez ya ikulu.

Jinga kabisa Kubenea.
 
Unataka kuwasukumia TLP mzigo basda ya nyie kuingizwa mkenge eti EL abakuja na mtaji wa wabunge 100, RC 4 Dc 20 etc?
 
The remaining part of the story sina interest nayo, mi naangazia hayo maneno yenye rangi nyekundu

Sitaki kuamini kuwa CCM, Usalama wa taifa hadi Jakaya walikuwa hawajui

Kama ni kweli basi hiyo ni hatari kubwa sana
Huyu mleta mada na kubenea wake ni wapuuzi. Wanatuona sisi viazi nn
 
Vijana waCDM kuweni makini kama ni vijana wa chadema wanamawazo haya chama kitagawanyika. Kama ni e jana wa Lumumba basi e anatafuta kugawa chama. Kuchangia kamekuwa ni maneno makali sana kiasi kwamba unaweza kumjenga Tabaka. Na matabaka ndio yanaza hivi hivi. Kwa Nini wasiachiwe uongozi wa chadema wakamuuliza.
 
Mkuu huwezi niumiza kwa chochote. Nimetoa tu mtazamo wangu. Siasa za sitaki nataka za CCM zisiwatoe kwenye reli.

Juzi mlitishwa na Kauli zao kuwa mmechukua mafisadi nanyi mkaanza sutana Leo hao hao wanaanza nyimbo za Lowassa mzuri mara nimefarijika sijui nini.

Again chadema haiwezi ishi kwa siasa za personal attack!! Chadema haiwezi vuka kwa siasa za majungu na matusi chadema itavuka kwa nguvu ya hoja.
 
Huyu mwandishi naye pumba tu, Hakuna mtu anayepinga Lowasa au yeyote ndani ya Chadema au Tanzania kuonana na Rais au Kinana au Polepole, bali kinachopingwa ni nini ulichozungumza, je kinamaslai ndani ya chama chako?

Tendo la Lowasa na JM ni sawa na mkeo kwenda kumsifia mgoni wako hadharani eti unajua kufanya wewe, na mgoni anamjibu mkeo na wewe unapofanywa unatulia kweli kweli sio kama mmeo kazi yake kunitukana tu.

Jamani huyo atakuwa mke kweli.
Angeenda kwa Rais na kuja kutuambia namna alivyomshauri kuhusu katiba mpya, demokrasia, uchumi, ajira, stahiki na promotion kwa watumishi , kilimo , haki sawa, utawala bora nk kweli angeeleweka
 
N
Nakuunga mkono tindo. Huyu EL ni wa kung'oa mzima mzima. Tuache uoga ..jamaa hafai upinzani. Aende zake.

Watuthibitishie alitoa shilling ngapi tumlipe aende na kundi lake.
 
Kweli tupu umesema mkuu. EL hajielewi yupo kwa maslahi yake..
 
Utachoshwa mkuu na watu wenye uelewa mdogo, hana hoja nyingine zaidi ya hiyo, siku hawa viwavi jeshi wa lumumba wakiongea hoja najitoa jf
 
Unataka kuwasukumia TLP mzigo basda ya nyie kuingizwa mkenge eti EL abakuja na mtaji wa wabunge 100, RC 4 Dc 20 etc?

Siwazukumizii, nataka haya maneno ya kwamba ndie aliyeleta wabunge na madiwani wengi ikaonekane huko. Kuna propaganda inayochezwa kienyeji wakati sisi tunasema jamaa alikuta chakula mezani kwani asiwe kuwa mpishi wakati si kweli? Wengine wanaenda mbali kwamba Lowassa anatukanwa na wa cdm kisa kamsifia rais. Hilo sio kweli ndio maana tunataka huu uzushi usiwepo.
 
Kwa wasiofahamu tu ni kwamba Lowasa na Kubenea wana ukaribu wa miaka mingi hivyo inawezekana kabisa anachoongea kina baraka zake

Tulipokuwa tunawaambia hamjui mnachokiunga mkono, hamuwajui wala kuwafahamu mnaowashabikia mlitukana.

Mkiambiwa mseme kwa nini hamuifahamu shule ambaye Mbowe alimalizia kidato cha nne mnakaza shingo. Mkiulizwa Mbowe alikuwaje ofisa wa benki kuu wakati hajamaliza kidato cha nne hamtaki kujiuliza.

Jiulizeni kwa nini mnaitwa manyumbu?
 
Naanza ku doubt uwezo wa kufikiri wa Kubenea!
Rudi kwenye makala za zamani za "mwanahalisi_". Kubenea ni kiazi na mchumia tumbo.

Halafu tumuulize..

Nani kamwambia EL alienda kuzungumza ya kitaifa. !?
Halafu katoa mfano wa Seif. Sasa Seif na CUF yake wana nn sasa hivi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…