Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Kubenea naye anaweza ita watu na wakaenda kweli?Yule ni chizi, watu wa Ubungo mtajiaibisha.
 
Kama aliweza kuacha upadre akaoa kitu ambacho ni dhambi atashindikanake kununuliwa! Keshafika bei dr.aende zake na hatumfuati maana tumeshaamua mabadiliko.
 

Upadre ni wito siyo fani,umbea usipitilize ndugu.
 

haya dogo mtoka mapovu na hewa chafu... ila kikubwa tunataka ccm itoke madarakani
 
Kubenea alikuwa anasoma mchezo wa slaa sasa mambo yatakuwa mambo Dr slaana aanikwe tu hamna namna
 

Tuna imani na kubenea,tuwekee wazi ili tumuwadhibu vizuri slaa na mwakyembe
 

Dr Slaa sio size yako mkuu!!
 
Kubenea mchumia tumbo, ameona bora awe mpiga dili tu sasa
 
Wakati mwingine kama naota, hivi slaa ni wa kufanya mambo ya @zzk hivi?
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuwa padri bila kusomea miaka 6. Unaweza kuitwa kama hukufaulu huwezi kuwa padri. Makanisa ya wokovu ndiyo watu walikuwa wanajiingiza tu kwa kisingizio cha wito siyo Upadri
Upadre ni wito siyo fani,umbea usipitilize ndugu.
 
Tanzania ya sasa haitaki watu, vigeugeu na wasio na misimamo kama kubenea wanasiasa njaa.
 
Huwezi kuwa padri bila kusomea miaka 6. Unaweza kuitwa kama hukufaulu huwezi kuwa padri. Makanisa ya wokovu ndiyo watu walikuwa wanajiingiza tu kwa kisingizio cha wito siyo Upadri

bantulile upadiri ni wito sio fani
 
Wao dis time after election so excited to see what a real Tanzania will be
 
kubenea hawa madokta na maprofesa wa Tanzania ni wakuwapuuza kabisa. cha kushukuru ni kwamba watanzania wa leo wanajua kilicho nyuma yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…