Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Ogopa sana mtu anayemuasi MUNGU anyemuamini
 
Safi sana kubenea huyo Babu hapaswi kuchekewa.
Mwanaume ukishikwa akili na mwanamke ni tatizo sana.
 
Safi sana Kubenea, nasubiri tamko lako kwa hamu sana.
Huyu babu keshajivua heshima yake hakuna haja ya kumheshimu tena.
 
Saeed Kubenea tunakuamini na tunaamini tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu. huyu dokta slaa inabidi ajibiwe hoja zake kila anapoziwasilisha kwani safari hii amedhamiria kututoa nje ya reli kwa ahadi ambazo anadai ati hanunuliki. Sisi pia tutamsikiliza na kumjibu humu jamvini yeye na wenzake wote wanaojaribu kuwa mazuzu wakati huu muhimu kwetu.
 
Safi sana Kubenea,nashangaa mnamwacha huyu Padri anayebadiri wanawake kuendelea kutudaganya.
 
Kubenea kabadili fani, kutoka uandishi mpaka kwenye siasa!! Anapiga mkwara kwa mzee aliemkabidhi list of shames.!!
 
Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?

Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.

Kweli siasa ya Tanzania ni za kutafutia shibe matumbo kwani Kubenea ni moja ya mwanahabari niliyemwamini sana kipindi hicho akichambua habari ya Richmond,Dowans na ufisadi enzi zile lakini kwa sasa si yule niliyemfahamu kwa sasa nae anasaka ulaji hivo ni lazima atatetea kule anakokula kwa sasa. Pia nafikiri kwa sasa makala zake zitakuwa zinaegemea upande anaoamini na si katika weledi wa uandishi na hivo kuharibu maana ya uandishi.
 
Reactions: nao
Kubenea kabadili fani, kutoka uandishi mpaka kwenye siasa!! Anapiga mkwara kwa mzee aliemkabidhi list of shames.!!

Kubenea chanachana hilo jizee lililokosa hekma.
 
Unashangaa kubenea kwa lowassa!!!! Mbona humshangai slaa dr. Cassava aliyekuwa akiiponda ccm na jk leo hii anaiona ccm na jk ndo'watakatifu wanaoishi tanzanai!!????
 
Kubenea yule Mwandishi Kanjanja? hivi kipindi hicho mwanahalisi kuna toleo lilikuwa linatoka bila habari ya ufisadi wa Lowassa
 
Reactions: nao
Huyu naye Bruce Jenner tu anayetafuta kiki kupitia Slaa.

Hawamjibu mama zake itakuwa yeye kifaranga tena mwenye mdondo.

Yetu akili,macho na masikio.
 
Reactions: nao
Uvccm mtabaaana mwisho mtaachia af ndo mtajua kua tulikua na nia ya kuitaka ikulu
 
Tar 31 May 1981 Mehmet Ali Agca Kijana wa Uturuki,alimpiga risasi Papa John Paul wa 2,alimpiga risasi nne na kwa uweza wa Mungu Papa hakufa,alipopona alitamka kuwa amemsamehe,akamtembelea gerezan na akahakikisha anakua huru.
Lakini Papa alivyokuja Tanzania aliagiza S. laa afukuzwe ukatibu wa pale kanisani,HAKUMSAMEHE!ALIMWAJIBISHA!
Je S.laa ni mbaya kuliko Mehmet Ali Agca aliyefanya ugaidi na kukaribia kumuua Papa??Hebu tutafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…