Kubenea atumia ‘Wheel chair’ kwenda mbele ya kamati, ashindwa kuhojiwa

Apone kwani anaumwa nini mkuu? Na wakati juzi kati alionekana maeneo Carnivore akijiachia baada ya kutoka Naiii.
Kwa hiyo akijiachia Juzi ndio atakua mzima milele??
Kama hukupenda alivyokua akijiachia basi ungemshauri ajishike Mkuu wangu
 
Issue aliyofanyiwa kubenea sio sawa maana hata mahakamani hajawahi kupelekwa mtu kwa wheel chair sio ubinadamu
 
Kwa hiyo akijiachia Juzi ndio atakua mzima milele??
Kama hukupenda alivyokua akijiachia basi ungemshauri ajishike Mkuu wangu
Sio mimi ambaye sijapenda mkuu, la hasha.
Nitakukumbusha enzi za nyuma miaka ya 80s-90s kama ulisoma boarding school, halafu ikatokea usiku huo kuna Disco la shule. Ukajiachia vya kutosha huku wakuda na mwalimu wa zamu akikulia timing. Halafu kesho yake uchelewe kwenye roll call ya asubuhi....nafikiri unajua huwa nini kinafuata ITV mkuu!
Ndio yaliyomkuta bwana Kubenea.
 
Umesema juzi kati kwani mtu kuumwa inahitaji siku ngapi? Tumia kichwa kufikiri kabla ya kuandika upuuzi!
Halafu mkijibiwa accordingly mnaanza kulia lia na kushtaki kwa Mods watu wapewe Ban.
Shetani Ushindwe na Ulegee kama mlenda wa mama ntilie.
 
Katolea hospital akahojiwe then anafikishwa kuhojiwa wanasema anaumwa aende hospital.
 
Ingekua Lisu, ange enda na angejitete vizuri. Ila huyu saidi Kubenea hamna kitu. Ndo maana Prof. Lipumba alisema "ana uwezo wa kumshughulikia mara moja yeye saidi, sumaye na lowassa kwa pamoja wakiwekwa dimbani, akiwachanganya na refa wao maalim seif."
 
pic+kubenea+2.jpg


Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeahirisha kumuhoji Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea kutokana na kufika mbele yake akiwa mgonjwa....
Amepata shock baada ya Mwanahalisi kufungiwa.
 
Back
Top Bottom