Kubemendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubemendwa

Discussion in 'JF Doctor' started by Billie, Mar 4, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Kuna kauli huwa naisikia mtaani eti mtoto wa fulan kabemendwa.ETI HII HALI IPO AU NA INAKUAJE kama ipo? Sana sana husema pale mtoto anakuwa na hali ya kudhoofika wakimanisha mama na baba yake wamefanya mapenzi mapema baada ya kujifungua au kapata mimba kabla huyo mtoto hajakuwa yaani nashindwa kuileza vizuri kwa kuwa sina maarifa nayo.NIJUZENI PLEASE KUBEMENDWA NDO NINI MAANA KUNA WENGINE HUWATUKANA WENZAO KWA KUSEMA SURA KAMA UMEBEMENDWA.
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Madaktari mko wapi,mwenyewe nataka fahamu hii kitu kiundani!pls tuelewesheni!wake up doctors.
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hamna maradhi kama kubemendwa. Waulize wataamu wa lugha ya kiswahili.
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  doctorz mbona unaniangusha tena iweje maradhi niende kuwauliza watu wa kiswahili.
   
Loading...