Kubemendwa

Kubemendwa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
najua mmekuja kaaasi ila namaanisha kutambaliwa na mende ama kwa kikwetu ni kubemendwa

1936304_1693698404251249_4168335210351475544_n.jpg
 
najua mmekuja kaaasi ila namaanisha kutambaliwa na mende ama kwa kikwetu ni kubemendwa

View attachment 337324
Huku kutambaliwa ni hatari sana aiseee.
Hivi nini kifanyike ili wanetu wasiingie kwenye unga?
Nasikia Ray C kisha badilika sasa, amekuwa chatu, anameza magunia, hata ukiyapanga saba.
Jana kajiova dozi kakimbizwa Muhimbili.....
Dah
 
hatari sana
 
Karudia tena? Si bro safar alimgharamia kumtibu ili aachane na huo unga?
 
Hao mende inaonekana kwa mlalo huo... washapiga hodi hadi ikuluu!
 
Akiamka hapo atazimia kwa uoga, maana inasemekana akina dada wanaogopa sana mende.
 
Chumba kichafuu....ukiwaona kitaa sasa hutaamini kama analala uchafuni.
 
Back
Top Bottom