Kubambiwa

Kubambiwa

Joined
Jun 23, 2015
Posts
48
Reaction score
10
Hivi nyinyi akina dada huwa mnajisikiaje pale mnapobambiwa (kukobewa) na w.me ktk mziki?
 
Attachments

  • SouthBeachO20110717WS.jpg
    SouthBeachO20110717WS.jpg
    17.5 KB · Views: 3,601
Wako busy hata simu saivi hawaruhusiwi kugusa subiri sa kumi na mbili watakuja, mi mpita njia tu.
 
Hiyo .ni aina ya matangazo ya biashara......
 
Hapa sio suala la wanawake. Wakikutana wao kwa wao ndio matokeo hayo.
 
Kumbe haya ndio mnayoyafanyaga huko disko.
 
Alafu kwan lazima wageuze matako kwani??????
 
Hivi nyinyi akina dada huwa mnajisikiaje pale mnapobambiwa (kukobewa) na w.me ktk mziki?

Kuna watu hisia zao ziko mbali!! Mimi hapo ningekuwa na hali mbaya! Mkao huo tena mdada kajaaliwa kavaa kinguo kama condom! Lawama hizo!
 
Ktk vitu ninavyoshindwa kuigiza acha kutenda ni hicho eti nabambia nawezaje kwa mfano, na ili iwaje ????????
 
Mbona huulizi kuhusu wanaobambia? Wabongo bana eti hata hii ni mada nayo
 
Kuna watu hisia zao ziko mbali!! Mimi hapo ningekuwa na hali mbaya! Mkao huo tena mdada kajaaliwa kavaa kinguo kama condom! Lawama hizo!
Mkuu umeandika kwa hisia sana kama vile upo eneo la tukio.........
 
waswahili wanasema raha ya ngoma uingie ucheze, nikushauri badala ya kuuliza swali kama hilo ingekua vizuri ungejaribu kubambia ili ujue wanapata nin
 
Kuna watu hisia zao ziko mbali!! Mimi hapo ningekuwa na hali mbaya! Mkao huo tena mdada kajaaliwa kavaa kinguo kama condom! Lawama hizo!

Una uchomoa unamwaga then unaendelea na kazi.
 
Back
Top Bottom