KUBALI WITO KATAA MANENO WANAWAKE

KUBALI WITO KATAA MANENO WANAWAKE

Miito gani hio mingine, we unaitwa pm njoo unadengua wakati huwezi jua kuna mambo gani yatakunufaisha toka kwangu!

Hapana bwana yaani hivi kuna wadada bao wakiitwa wanaenda [emoji848] me ukiniita nikufuate siji ng’oo [emoji23][emoji23]we ndo unashida alafu nikufuate wooi
 
Habari wana Jf naimani mko powa .

Haya mambo hayajawahi nitokea ila huwa nayaona sana yanatokea katika maisha ya kila siku hasa kwa upande wa wanawake.

Leo nilikuwa nimekaa mahali ghafla akapita bi dada mmoja akaenda kama mita chache nyuma kuna jamaa alikuwa anamuita .Yule bi dada alimgeukia jamaa akashushia matusi hatari.Me nikaona bi dada kama hakutumia ugwana huwezi jua mtu anakuambia nini wewe unaanza tu kumtukana .Nikajua yule bi dada alichowaza (Na idadi kumbwa ya wanawake hasa wa mjini wako hivyo ) Wanawake badilikeni huwezi jua mtu anata akunusuru na nini .Au akuambie nini .MTAKUJA PISHANA NA GARI LA MSHAHARA .ALAFU UNAKIMBILIA KWENYE MAOMBI HUOLEWI AU HAUNA MCHUMBA.JITAFAKARINI SANA .KUBALI WITO KATAA MANENO.

MAWAZO YENU WANA JF [emoji848]

NASOMA COMMENT [emoji1317]
Mkuu wanawake wanaangalia muonekano wa mwanaume mwenyewe anayemuita.

Mwite mwanamke ukiwa na matairi manne kama utatukanwa matusi..

Na sisi wanaume tumezidi kujiamini sana,
Sometimes unaona kabisa haya maji mazito lakini hatuachi kujitutumua,

Tena especially kukiwa na watu around.
 
Hapana bwana yaani hivi kuna wadada bao wakiitwa wanaenda [emoji848] me ukiniita nikufuate siji ng’oo [emoji23][emoji23]we ndo unashida alafu nikufuate wooi

Maskin jeuri[emoji1787]
 
Mkuu wanawake wanaangalia muonekano wa mwanaume mwenyewe anayemuita.

Mwite mwanamke ukiwa na matairi manne kama utatukanwa matusi..

Na sisi wanaume tumezidi kujiamini sana,
Sometimes unaona kabisa haya maji mazito lakini hatuachi kujitutumua,

Tena especially kukiwa na watu around.

Point sana mkuu ila nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo tutafute magari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom