JMipicha
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 704
- 1,103
Habari wana Jf naimani mko powa .
Haya mambo hayajawahi nitokea ila huwa nayaona sana yanatokea katika maisha ya kila siku hasa kwa upande wa wanawake.
Leo nilikuwa nimekaa mahali ghafla akapita bi dada mmoja akaenda kama mita chache nyuma kuna jamaa alikuwa anamuita .Yule bi dada alimgeukia jamaa akashushia matusi hatari.Me nikaona bi dada kama hakutumia ugwana huwezi jua mtu anakuambia nini wewe unaanza tu kumtukana .Nikajua yule bi dada alichowaza (Na idadi kumbwa ya wanawake hasa wa mjini wako hivyo ) Wanawake badilikeni huwezi jua mtu anata akunusuru na nini .Au akuambie nini .MTAKUJA PISHANA NA GARI LA MSHAHARA .ALAFU UNAKIMBILIA KWENYE MAOMBI HUOLEWI AU HAUNA MCHUMBA.JITAFAKARINI SANA .KUBALI WITO KATAA MANENO.
MAWAZO YENU WANA JF [emoji848]
NASOMA COMMENT [emoji1317]