KUBAKWA: Nani kabakwa?

KUBAKWA: Nani kabakwa?

makandokando

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
299
Reaction score
21
Wanajamvi naombeni msaada.

Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo:

1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda
2. Hatapenda kirudiwe tena
3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa kumkuna eneo hilo.
4. Yule aliyembaka anakua adui yake milele na hatapenda kuongea nae wala kuwa nae karibu

List ni ndefu.

Ila mazingira ya kubakwa pia huwa labda:
1. msichana anajitokea shuleni/kazini/katika matembezi, halafu mtu/watu wanamvizia njiani, na kumuingilia. Na mara nyingi msichana hujaribu kutumia nguvu kukurupuka au hata kupiga kelele. Yaani baada ya tukio la kubakwa, basi unaweza kukuta na majeraha mengine.

2. au labda housegirl amelala zake chumbani, halafu mzee mzima anamfuatia usiku na kumbaka huko

3. au labda mhudumu hakujua kama mtu yupo chumbani (ihahitaji uthibitisho) halafu kaenda kufanya usafi, kumbe jamaa yupo ndani, akamrukia akambaka

Yaani, lazima kuna mazingira, ya msichana kuwa eneo analotakiwa kuwepo, na mtu mwingine kutumia nguvu kumbaka msichana huyo.

Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa.

Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.

Nawaonea huruma waliobakwa, na kwa kweli wabakaji wapelekwe kwenye vyombo ya kisheria mapema......ila mi sielewi unakuaje umebakwa, kwenye mazingira kama hayo.

Unless, tunadefine kubaka ni kufanya mapenzi na msichana mwenye umri chini ya miaka 18, independent of kama alikuja hotelini, au ulimfuata, etc. etc.

Na kama ni hivyo, je...mtu kwenye miaka 23 hawezi kubakwa?
 
...

Hakika mwapotea kwa kukosa maarifa. Usijisumbue kutunga "hypothesis" zako, unazi-test mwenyewe, na kufikia conclusion wewe mwenyewe! Itafute Sheria ya Makosa ya Ubakaji ndio utaelewa maana ya ubakaji.

Well, hapo nilipo-underline, hata wewe hushangai kwanini inakuwa hivyo? Ni mtoto au punguani tu anayeweza kufanya hivyo.
 
Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa.

(Jibu) Babu yako kamtuma dereva wake kumfuata yule binti shule, wamekuja na dereva hadi reception - watu wa reception walimzuia binti kuingia chumbani, babu yako akalazimisha - mtoto na dereva wakapanda juu huku mtoto akiamini hawezi kufanyiwa kitendo hicho na mtu ambaye ni mkubwa serikalini tena mtu mzima kama babu yake! zaidi mtoto anaamini yupo mikononi mwa wanaume wawili watu wazima yaani dereva & babu yako - so at age of 14 hata kama ungekuwa ni wewe ungeamini kwamba your safe achilia mbali hoteli ya kitalii ambayo babu yako alifikia.

Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.

Huwezi jua babu yako anatumia nini, lakini kumbuka kutumia pesa kudanganya ni kosa kubwa, na kumdanganya mtoto wa chini ya miaka 18 ni kazi ndogo sana! hata wewe ulivyokuwa na miaka 14 nafikiri hata kujieleza ulikuwa hujui - sina uhakika hata mavazi ya ndani yalikuwa masafi - hii siyo hoja ya kumwokoa mtuhumiwa.

Nawaonea huruma waliobakwa, na kwa kweli wabakaji wapelekwe kwenye vyombo ya kisheria mapema......ila mi sielewi unakuaje umebakwa, kwenye mazingira kama hayo.

Babu yako amebaka mjukuu wake!!! lazima sheria ichukue mkondo wake ili we fundisho wa wale mashebedee wanaotumia pesa zao kuhadaa watoto wadogo.
 
Unatakiwa kuhusisha akili yako binafsi kwny kutafuta ukwl ukiahindwa unaomba msaada..ulitakiwa ujue maana ya kubaka kwnz katika mitazamo yt inaonekana tatizo limeanzia hapo,kumuingilia kimwili mtu chini ya umri wa miaka 18 iwe kwa nguvu au ushawishi wwt ni kubaka kwa kua hawezi kufanya maamuzi sahihi kutokana na umri wake hii iko wazi au haujui ukimpa mimba binti chini ya umri bila kujali alikua anakuja mwnyw ni KOSA na kisheria ht kwny ndoa watu wanabakwa mfn ww mume kumuingilia mkeo bila hiyari yake ni kosa sema tunaleta mazoe...
 
Mtu anabakiwa kanisani au msikitini ndo iwe gest.....wewe ukitaka kujua sheria ikoje...matafute mtoto wa shule ....mtongoze vizuri akukubalie....mwite gest nzuri au hoteli....akuvulie mwenyewe ...alafu ukutwe nae ...uone sheria inasemaje....acha upumbavu wewe....siamini kama kuna watu watatetea hili swala kwa hoja za kishamba namna hii....ngoja abakwe (aliwe) dada yako...apewe na ukimwi ndo utajua nini maana ya ubakaji wa namna hii....unaujua UKIMWI wewe....!!?
 
Wanajamvi naombeni msaada.

Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo:

1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda
2. Hatapenda kirudiwe tena
3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa kumkuna eneo hilo.
4. Yule aliyembaka anakua adui yake milele na hatapenda kuongea nae wala kuwa nae karibu

List ni ndefu.

Ila mazingira ya kubakwa pia huwa labda:
1. msichana anajitokea shuleni/kazini/katika matembezi, halafu mtu/watu wanamvizia njiani, na kumuingilia. Na mara nyingi msichana hujaribu kutumia nguvu kukurupuka au hata kupiga kelele. Yaani baada ya tukio la kubakwa, basi unaweza kukuta na majeraha mengine.

2. au labda housegirl amelala zake chumbani, halafu mzee mzima anamfuatia usiku na kumbaka huko

3. au labda mhudumu hakujua kama mtu yupo chumbani (ihahitaji uthibitisho) halafu kaenda kufanya usafi, kumbe jamaa yupo ndani, akamrukia akambaka

Yaani, lazima kuna mazingira, ya msichana kuwa eneo analotakiwa kuwepo, na mtu mwingine kutumia nguvu kumbaka msichana huyo.

Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa.

Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.

Nawaonea huruma waliobakwa, na kwa kweli wabakaji wapelekwe kwenye vyombo ya kisheria mapema......ila mi sielewi unakuaje umebakwa, kwenye mazingira kama hayo.

Unless, tunadefine kubaka ni kufanya mapenzi na msichana mwenye umri chini ya miaka 18, independent of kama alikuja hotelini, au ulimfuata, etc. etc.

Na kama ni hivyo, je...mtu kwenye miaka 23 hawezi kubakwa?
Mtu anabakiwa kanisani au msikitini ndo iwe gest.....wewe ukitaka kujua sheria ikoje...matafute mtoto wa shule ....mtongoze vizuri akukubalie....mwite gest nzuri au hoteli....akuvulie mwenyewe ...alafu ukutwe nae ...uone sheria inasemaje....acha upumbavu wewe....siamini kama kuna watu watatetea hili swala kwa hoja za kishamba namna hii....ngoja abakwe (aliwe) dada yako...apewe na ukimwi ndo utajua nini maana ya ubakaji wa namna hii....unaujua UKIMWI wewe....!!?
 
Rape and Sexual Violence
Sexual violence is any unwanted sexual act or activity. There are many different kinds of sexual violence, including but not restricted to: rape, sexual assault, child sexual abuse, sexual harassment, rape within marriage / relationships, forced marriage, so-called honour-based violence, female genital mutilation, trafficking, sexual exploitation, and ritual abuse. Sexual violence can be perpetrated by a complete stranger, or by someone known and even trusted, such as a friend, colleague, family member, partner or ex-partner. Sexual violence can happen to anyone. No-one ever deserves or asks for it to happen.

100% of the responsibility for any act of sexual violence lies with its perpetrator. There is no excuse for sexual violence – it can never be justified, it can never be explained away and there is no context in which it is valid, understandable or acceptable.

If you have been raped or experienced any other kind of sexual violence, no matter where you were, what you were doing, what you were wearing, what you were saying, if you were drunk or under the influence of drugs, it was not your fault and you did not deserve this.

Current legal definition of rape

The Sexual Offences Act 2003 (the Act) came into force on the 1st May 2004. The purpose of the Act was to strengthen and modernise the law on sexual offences, whilst improving preventative measures and the protection of individuals from sexual offenders. The Act extends the definition of rape to include the penetration by a penis of the vagina, anus or mouth of another person. The 2003 Act also updates the law about consent and belief in consent.

The word 'consent' in the context of the offence of rape is now defined in the Sexual Offences Act 2003. A person consents if she or he agrees by choice, and has the freedom and capacity to make that choice. The essence of this definition is the agreement by choice. The law does not require the victim to have physically resisted in order to prove a lack of consent. The question of whether the victim consented is a matter for the jury to decide, although the Crown Prosecution Service (CPS) considers this issue very carefully throughout the life of a ase.

Current legal definition of sexual (indecent) assault

Sexual assault is an act of physical, psychological and emotional violation, in the form of a sexual act, which is inflicted on someone without consent. It can involve forcing or manipulating someone to witness or participate in any sexual acts, apart from penetration of the mouth with the penis, the penetration of the anus or vagina (however slight) with any object or the penis, which is rape.
 
Wanajamvi naombeni msaada.

Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo:

1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda
2. Hatapenda kirudiwe tena
3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa kumkuna eneo hilo.
4. Yule aliyembaka anakua adui yake milele na hatapenda kuongea nae wala kuwa nae karibu

List ni ndefu.

Ila mazingira ya kubakwa pia huwa labda:
1. msichana anajitokea shuleni/kazini/katika matembezi, halafu mtu/watu wanamvizia njiani, na kumuingilia. Na mara nyingi msichana hujaribu kutumia nguvu kukurupuka au hata kupiga kelele. Yaani baada ya tukio la kubakwa, basi unaweza kukuta na majeraha mengine.

2. au labda housegirl amelala zake chumbani, halafu mzee mzima anamfuatia usiku na kumbaka huko

3. au labda mhudumu hakujua kama mtu yupo chumbani (ihahitaji uthibitisho) halafu kaenda kufanya usafi, kumbe jamaa yupo ndani, akamrukia akambaka

Yaani, lazima kuna mazingira, ya msichana kuwa eneo analotakiwa kuwepo, na mtu mwingine kutumia nguvu kumbaka msichana huyo.

Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa.

Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.

Nawaonea huruma waliobakwa, na kwa kweli wabakaji wapelekwe kwenye vyombo ya kisheria mapema......ila mi sielewi unakuaje umebakwa, kwenye mazingira kama hayo.

Unless, tunadefine kubaka ni kufanya mapenzi na msichana mwenye umri chini ya miaka 18, independent of kama alikuja hotelini, au ulimfuata, etc. etc.

Na kama ni hivyo, je...mtu kwenye miaka 23 hawezi kubakwa?

Mume anapombaka MKEWE theory yako ina apply!?? au wewe nawe hali moja na Kapuya.
 
Mkuu kama sheria zenyewe zinatungwa na kuanduikwa kwa kingereza, sisi tuliosoma sent Kayamba tutazielewa vip? Maana miomi mwenyewe na elimu yangu ya Bachelary kuna maeneo mengine inakuwa ngumu kuelewa vizuri.
Sheria yenyewe inawabaka wananchi.
 
Huyu atakuwa mtoto wa prof.

Jibu ni kuwa huyo mtoto ni kiherehere chake.

Zakuambiwa changanya na za kwako.
 
Wanajamvi naombeni msaada.

Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo:

1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda
2. Hatapenda kirudiwe tena
3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa kumkuna eneo hilo.
4. Yule aliyembaka anakua adui yake milele na hatapenda kuongea nae wala kuwa nae karibu

List ni ndefu.

Ila mazingira ya kubakwa pia huwa labda:
1. msichana anajitokea shuleni/kazini/katika matembezi, halafu mtu/watu wanamvizia njiani, na kumuingilia. Na mara nyingi msichana hujaribu kutumia nguvu kukurupuka au hata kupiga kelele. Yaani baada ya tukio la kubakwa, basi unaweza kukuta na majeraha mengine.

2. au labda housegirl amelala zake chumbani, halafu mzee mzima anamfuatia usiku na kumbaka huko

3. au labda mhudumu hakujua kama mtu yupo chumbani (ihahitaji uthibitisho) halafu kaenda kufanya usafi, kumbe jamaa yupo ndani, akamrukia akambaka

Yaani, lazima kuna mazingira, ya msichana kuwa eneo analotakiwa kuwepo, na mtu mwingine kutumia nguvu kumbaka msichana huyo.

Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa.

Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.

Nawaonea huruma waliobakwa, na kwa kweli wabakaji wapelekwe kwenye vyombo ya kisheria mapema......ila mi sielewi unakuaje umebakwa, kwenye mazingira kama hayo.

Unless, tunadefine kubaka ni kufanya mapenzi na msichana mwenye umri chini ya miaka 18, independent of kama alikuja hotelini, au ulimfuata, etc. etc.

Na kama ni hivyo, je...mtu kwenye miaka 23 hawezi kubakwa?

Mkuu we endelea kuona sifa juu ya hicho ulichokipost. ila usije ukalalamika siku utakapokutana na akina Kapuya wakakukapuya
 
Wanajamvi naombeni msaada.

Mtoto wako wa Kike angefanyiwa hivyo kwa sababu hauna uwezo wa kumlipia ada yake ya shule ungekenua minjino yako hivyo? Punguani mkubwa jisaidie mwenyewe kwanza ndio wanajamvi watakusaidia
 
Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa. (Jibu) Babu yako kamtuma dereva wake kumfuata yule binti shule, wamekuja na dereva hadi reception - watu wa reception walimzuia binti kuingia chumbani, babu yako akalazimisha - mtoto na dereva wakapanda juu huku mtoto akiamini hawezi kufanyiwa kitendo hicho na mtu ambaye ni mkubwa serikalini tena mtu mzima kama babu yake! zaidi mtoto anaamini yupo mikononi mwa wanaume wawili watu wazima yaani dereva & babu yako - so at age of 14 hata kama ungekuwa ni wewe ungeamini kwamba your safe achilia mbali hoteli ya kitalii ambayo babu yako alifikia. Huwezi jua babu yako anatumia nini, lakini kumbuka kutumia pesa kudanganya ni kosa kubwa, na kumdanganya mtoto wa chini ya miaka 18 ni kazi ndogo sana! hata wewe ulivyokuwa na miaka 14 nafikiri hata kujieleza ulikuwa hujui - sina uhakika hata mavazi ya ndani yalikuwa masafi - hii siyo hoja ya kumwokoa mtuhumiwa. Babu yako amebaka mjukuu wake!!! lazima sheria ichukue mkondo wake ili we fundisho wa wale mashebedee wanaotumia pesa zao kuhadaa watoto wadogo.
Nakubaliana na wewe kabisa FUSO huyu babu wa AKUDO Impact ni Babu yake na makandokando Halafu ni kubwa jinga eti mpaka leo linatuma sms
  • oohh najiua saa hizi
  • oohh hamjalala bado
  • Oohh Serikali hii ni yawauza unga na pembe hawakamatwi
  • oohh nitakuwa Waziri Mkuu hatanionaona chukueni Benz
Huyu jamaa kweli ni Michosho wakati wakiwa Waziri wa ulinzi kakizalisha Kibint kadogo tu kalikotoka Chuo cha Ualimu na sasa ni Mwl Chamwino Ikulu Mwacheni akakumbane na zile Sheria tu za kumKONYEZA MWANAMKE 30yrs, Safari hii TALWA na TAMWA hawamuachii labda ajikill
 
Last edited by a moderator:
Baraka nakusihi wewe na baba yako acheni kuuwa watoto wa watu. Mwambie babayako akaombe msamaha kwa mama yako gongo la mboto. unajua fika baba yako ni mgonjwa na kubaka hajaanza leo.... Anachokifanya kwa watoto wa wenzie hata Dada zako waweza fanyiwa.....
 
Wanajamvi naombeni msaada.

Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo:

1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda
2. Hatapenda kirudiwe tena
3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa kumkuna eneo hilo.
4. Yule aliyembaka anakua adui yake milele na hatapenda kuongea nae wala kuwa nae karibu

List ni ndefu.

Ila mazingira ya kubakwa pia huwa labda:
1. msichana anajitokea shuleni/kazini/katika matembezi, halafu mtu/watu wanamvizia njiani, na kumuingilia. Na mara nyingi msichana hujaribu kutumia nguvu kukurupuka au hata kupiga kelele. Yaani baada ya tukio la kubakwa, basi unaweza kukuta na majeraha mengine.

2. au labda housegirl amelala zake chumbani, halafu mzee mzima anamfuatia usiku na kumbaka huko

3. au labda mhudumu hakujua kama mtu yupo chumbani (ihahitaji uthibitisho) halafu kaenda kufanya usafi, kumbe jamaa yupo ndani, akamrukia akambaka

Yaani, lazima kuna mazingira, ya msichana kuwa eneo analotakiwa kuwepo, na mtu mwingine kutumia nguvu kumbaka msichana huyo.

Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa.

Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.

Nawaonea huruma waliobakwa, na kwa kweli wabakaji wapelekwe kwenye vyombo ya kisheria mapema......ila mi sielewi unakuaje umebakwa, kwenye mazingira kama hayo.

Unless, tunadefine kubaka ni kufanya mapenzi na msichana mwenye umri chini ya miaka 18, independent of kama alikuja hotelini, au ulimfuata, etc. etc.

Na kama ni hivyo, je...mtu kwenye miaka 23 hawezi kubakwa?

Swala apa ni umri wa mtoto ambao hata katiba imeutamka.
We ukimkuta mwanao wa miaka 6 au 9 kapakatwa na houseboy huku akiunyonya tena anakuambia baba dudu tamu, nimepewa na pipi, je utachekelea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom