Kubadllisha kioo cha iphone iliopasuka..

Kubadllisha kioo cha iphone iliopasuka..

Premij canoon

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2018
Posts
1,275
Reaction score
2,970
Habar wakuu, kama kichwa cha habari kinavojieleza.. Iphome yangu mepasuka kioo baada yakuidondosha, nafikiri kuhusu kubadili kioo ili irudi kwenye mwonekano wake wa awali.
Naomba kupata ushauri wakuu je nikibadili kioo itaweza kufanya kazi kama mwanzo au kioo chakubadili huwa hakiwezi kufanya kazi kama kioo cha simu?
Naombeni ushauri wakuuu, natanguliza shukran

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Itafanya kazi vizuri ila kubadili kioo sio kama unavyofikiri au kuona wanavyobadili protector.

Kioo cha smart kimeungana na vikorokoro kibao na gharama ni kubwa.
Mfano nilipeleka s8plus kubadili kioo nikaambiwa laki 8 na ni kazi ya masaa 2 mpaka 3.

Nenda kwa mafundi wataalam vinginevyo utaipoteza kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah laki nane si hafadhali ununue simu nyingine aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itafanya kazi vizuri ila kubadili kioo sio kama unavyofikiri au kuona wanavyobadili protector.

Kioo cha smart kimeungana na vikorokoro kibao na gharama ni kubwa.
Mfano nilipeleka s8plus kubadili kioo nikaambiwa laki 8 na ni kazi ya masaa 2 mpaka 3.

Nenda kwa mafundi wataalam vinginevyo utaipoteza kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah shukran mkuu.. Ila tatzo linakuja kwenye kupata fundi mtaalam maana mbongo kila mtu ni mtaalam nisije uziwa mbuzi kwenye gunia mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Itafanya kazi vizuri ila kubadili kioo sio kama unavyofikiri au kuona wanavyobadili protector.

Kioo cha smart kimeungana na vikorokoro kibao na gharama ni kubwa.
Mfano nilipeleka s8plus kubadili kioo nikaambiwa laki 8 na ni kazi ya masaa 2 mpaka 3.

Nenda kwa mafundi wataalam vinginevyo utaipoteza kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
. TSH .
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge
Kioo-190,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge Plus
Kioo-270,000.-SUPER AMOLED
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Back
Top Bottom