Kubadilishana Simu: Huawei y530 kwa samsung s2

Kubadilishana Simu: Huawei y530 kwa samsung s2

Clever Gk

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
39
Reaction score
6
Wadau nahitaji kubadili simu mwenye samsung galaxy s2 nimpe huawei y530 ipo in better condition na haina tatzo lolote na pesa kidogo.
Nipo morogoro kwa sasa.
 
Wadau nahitaji kubadili simu mwenye samsung galaxy s2 nimpe huawei y530 ipo in better condition na haina tatzo lolote na pesa kidogo.
Nipo morogoro kwa sasa.

mkuuu huoni hiyoo barter trade kuna mmoja atakuwa amenufaika ....
 
kivipi mkuu?

mkuuu kwani bei ya s2 na y530
zinafanana.....??
hata kwenye uwezo hakuna ufanano...
ulitakiwa labda huyoo mtu kama unampa y530 basi umuongeze na ammount kidogo.... sorry kama ntakuwa nimekuingiliaaa me nakushauri tuu mkuuu..
 
huwezi kufananisha capacity na bei ya s2 kwa huawei 530..
atleast ungetangaza unaoffer huawei 530 plus some amount of cash kwa exchange deal na s2.
 
mkuuu kwani bei ya s2 na y530
zinafanana.....??
hata kwenye uwezo hakuna ufanano...
ulitakiwa labda huyoo mtu kama unampa y530 basi umuongeze na ammount kidogo.... sorry kama ntakuwa nimekuingiliaaa me nakushauri tuu mkuuu..

utakuwa hujasoma vizur tangazo mkuu nimezingatia hilo ndo maana nikasema na pesa kidogo kama utarejea vizuri tangazo utagundua hilo.
 
Back
Top Bottom