YP Kisunzu
Member
- Dec 8, 2015
- 7
- 0
Habari wana jamvi,mimi ni Clinician kada ya CA natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kwa yule anayependa kufanyia kazi wilaya ya Sikonge Tabora tuwasiliane.
Hususani wale wahudumu wa Afya wa wilaya za Kigoma,Katavi na Mbeya.
Mawasiliano: e-mail:ypkisunzu@gmail.com
Au
0769601703
Au
0764601703
Hususani wale wahudumu wa Afya wa wilaya za Kigoma,Katavi na Mbeya.
Mawasiliano: e-mail:ypkisunzu@gmail.com
Au
0769601703
Au
0764601703