Kubadilishana kituo cha kazi

Kubadilishana kituo cha kazi

Kamo Master

Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
12
Reaction score
3
Naitwa mwl Salum Kamolekla nafumdisha shule ya msingi wilayani maswa mkoani Simiyu .Natafutawl wa kubadikoshana nae kitup cha kazi kitoka mikoa ifuatayo.
MOROGORO
PWANI
ARUSHA
MOSHI
kwa aliye tayari naomba tuwasiliame kwa no zifuatazo
0653 543 143
0759 543 143

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi walimu wenzio waliuanzia utafute, humo unaweza pata wa kubadilishana nae!
 
Mkuu haya maelezo ya Jumla mno ! Mf.Mkoa wa Morogoro n mkubwa unaanzia Bwawani njia ya Dar Hadi kule Kilombero unapakana na Ruvuma:-!na Mkoa waPwani unazungumzia kwa Wazigua kule kupita mto Wami..mpaka Mafia!
Ina maana upo tayar kwenda popote ktk Mikoa hiyo!
 
Mzee nipo tayari halmashauri yoypte ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haya maelezo ya Jumla mno ! Mf.Mkoa wa Morogoro n mkubwa unaanzia Bwawani njia ya Dar Hadi kule Kilombero unapakana na Ruvuma:-!na Mkoa waPwani unazungumzia kwa Wazigua kule kupita mto Wami..mpaka Mafia!
Ina maana upo tayar kwenda popote ktk Mikoa hiyo!
Namba za simu ameweka, mpigie mzee. Mbona jambo dogo tu hilo? Ama lengo ni kukosoa tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom