Jux08 Member Joined May 21, 2017 Posts 55 Reaction score 16 Dec 31, 2017 #1 Jamani kuna mwalimu wa sekondari mjini musoma anatafuta mwalimu ambae yuko mwanza mjini wa kubadilishana nae.
Jamani kuna mwalimu wa sekondari mjini musoma anatafuta mwalimu ambae yuko mwanza mjini wa kubadilishana nae.
Jux08 Member Joined May 21, 2017 Posts 55 Reaction score 16 Dec 31, 2017 Thread starter #2 Mwenye taarifa anicheki inbox itapendeza
frontpage Member Joined Feb 26, 2017 Posts 71 Reaction score 116 Dec 31, 2017 #3 anzisheni group la whatsapp kwa walimu Tanzania, itawasaidia sana kwa issue hizo na kutambuana kifira pia, ama huwa mna magroup ya udaku tu? Anzisha wengine watakufuata.
anzisheni group la whatsapp kwa walimu Tanzania, itawasaidia sana kwa issue hizo na kutambuana kifira pia, ama huwa mna magroup ya udaku tu? Anzisha wengine watakufuata.