Kubadilishana Kituo cha Kazi Ualimu Ajira Mpya 2014

mapengo junior

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,137
275
Rejea tangazo la ajira za uwalimu la march 2014

s/n jina sex anuani chuo kozi masomo mkoa wilaya
10611 ALLY HUSSEIN SESEME M BOX 45114 DAR ES SAL UOA BED COMMERCE/ACCOUNTANCY SIMIYU ITILIMA.

Jamani kwa mtu anaetaka kwenda simiyu kwa kubadilishana na mimi.awe amepata maeneo yafuatayo;-
Pwani-mkuranga
Pwani-rufiji
Pwani-kibaha
Tanga-tanga mjini
Tanga-korogwe

mawasiliano piga au tuma message 0718098454
 
Andrew r. Tabora manispaa aliye tayari kuja manispaa ya tabora mjini tuwasiliane mimi niende pwani- kibaha, dar es salaam, morogoro manispaa au moshi njini. 0766220722/0719713234
 
Mmeripoti lini vituoni mpaka muanze kuhama?kafanyeni kazi nyie,acheni ubabaishaji hapa.yani hata kuripoti bado hamjaenda halafu mnataka kuhama?maisha sio lelemama kama mnavyodhani.Nyie bado hamna kazi mpaka mkaanze kazi mlikopangwa ili muingizwe kwenye payroll ndo muanze kuhama.malizeni jambo moja kwanza ndo muanze na hilo la kuhama la sivyo mtaanza upya kwa yote.
 
Hawa walimu wanaleta mpya yaani hata kuripoti bado wanataka kuhama.

Jamani nendeni mkafundishe mlikopangiwa kwani huko nako kuna binadamu kama nyinyi wanaishi.
 
hallow humu ndani, mi nimepangwa kasulu kigoma jaman kama kuna mtu anapataka huko naomba nibadilishane nae...nahitaj mtu alopangwa bagamoyo or morogoro. Kama yupo check me through this number 0785734279
 
hallow humu ndani, mi nimepangwa kasulu kigoma jaman kama kuna mtu anapataka huko naomba nibadilishane nae...nahitaj mtu alopangwa bagamoyo or morogoro. Kama yupo check me through this number 0785734279

njoo dom
 
Back
Top Bottom