Kubadilishana iPhone 7 Plus 128 GB kwa Samsung Note 9 , 128 GB

Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
520
1,000
nna iPhone jaamaa ana Samsung anataka tubadilishane, nataka maoni kama is it a right thing to do! Ipi yenye value nzuri?
 
DidYouKnow

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
725
1,000
nna iPhone jaamaa ana Samsung anataka tubadilishane, nataka maoni kama is it a right thing to do! Ipi yenye value nzuri?
Ndugu wewe ndio wajua thamani ya simu yako. Hatujui kama ulinunua, ulipewa zawadi, au uliiba. Thamani ya kitu unaijua wewe. Fuata moyo wako.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,978
2,000
Ahsante chief, halafu hivi One plus 7 Pro refurb naweza nkaipata kwa pesa ngapi?
Op refurb si nyingi Sababu mitandao mi chache ina subsidize. Bei around $350 Amazon, pamoja na usafiri na Kodi pengine 1m.

Simu za Kichina bora ununue mpya tu, hazina longevity kama ya brand kubwa,

Oneplus 8 $399 utofauti mdogo sana na 7 Pro,
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
520
1,000
Op refurb si nyingi Sababu mitandao mi chache ina subsidize. Bei around $350 Amazon, pamoja na usafiri na Kodi pengine 1m.

Simu za Kichina bora ununue mpya tu, hazina longevity kama ya brand kubwa,

Oneplus 8 $399 utofauti mdogo sana na 7 Pro,

Binafsi napenda Zaid shape ya Op 7 pro sababu haina Punch-hole Cam
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom