Kubadilisha OS ya nokia n9 kuwa android

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Naombeni msaada wa kubadilisha meego os ya nokia n9 kuwa android. Kama inawezekana naomba niambiwa ni wapi au ni nani anaweza kunisaidia(nipewe contacts zake).
 
nanavyojua mm nikitu ambacho hakiwezekani sababu os inatemgemea architecture ya device husika so ni ngumu kuweka os kwenye device amabayo architecture yake sio compatible na hiyo os ..
 
theunlockr.com/2012/11/30/how-to-run-android-ice-cream-sandwich-on-the-nokia-n9-2/
 
mpaka umekuja omba msaada hapa kama hio simu itakushinda kaka kwa kuanzia ina terminal? ni dev unlocked au ya kawaida tu. angalia kwenye hizo icons zako kwenye homescreen kama ipo terminal
 
mpaka umekuja omba msaada hapa kama hio simu itakushinda kaka kwa kuanzia ina terminal? ni dev unlocked au ya kawaida tu. angalia kwenye hizo icons zako kwenye homescreen kama ipo
terminal
Kwa kweli hapo Chief umeniacha.Nimeangalia kwenye home screen hakuna terminal, ila lain yake ni ya kukata.Kwa kweli ninaipenda ila ttizo lake ni kukosa apps muhimu kama vile watsapp nk, ambavyo vipo kwa wingi android.
 
futa kaka dream ya android ni ngumu sana labda utafute mtu anaejua akufanyie, sasa hivi wameshaport sailfish ila ina bugs nyingi bado kwa mtu wa kawaida itakuwa ngumu labda uvute subira.

ila kama still una nia soma hii post itakusaidia sana sababu umesema simu yako haina terminal inbidi uanze kuiflash kwanza na developer firmware kabla hujaanza process za android. hio terminal ndio inatumika ku execute comand,

How to Install Android ICS 4.0.3 on Nokia n9? -

kuna tutorial fake za kueka android nyingi sana sababu jamaa wana copy na kupaste na hawajui kuna mambo mengi ya kufanya kabla hujaanza kueka android, soma hio hapo juu jipime kama utaweza fanya ukishindwa kaa na simu yako subiria sailfish
 
pia usisahau camera na wifi hazifanyi kazi ni bug yake
 
Asanteni sana #Chief ,na Elmagnifico.Hiyo Sailfish ndo itatoka mwezi gani, na ikitoka tutajuaje?
 
Asanteni sana #Chief ,na Elmagnifico.Hiyo Sailfish ndo itatoka mwezi gani, na ikitoka tutajuaje?

yani ni hivi kaka nokia alivyoachana na meego(hio n9 yako) wafanyakazi hawakufurahishwa wakaacha kazi nokia wakaiendeleza hio project wakatoa os inaitwa sailfish.

so sailfish ni muendelezo wa simu yako na ni rahisi kuieka kuliko android, na ili kutoa tatizo la app hio sailfish ina uwezo wa kurun app za android kawaida tu kama simu ya ANDROID.

miezi kama 6 iliopita wakaiport hio sailfish kwenye n9 ila ikawa na bugs nyingi mojawapo ya bugs zile app za android zikawa hazifany kazi hivyo bado ipo kwenye development kuifanya iwe nzur kwa matumizi ya kawaida. so kwa wewe unachosubiria ni apps hivyo inabidi usubirie hio siku hio bug wakiisolve utaweza kuieka.

kama unataka kufuatilia mwenyewe tumia site hizi
jollauser.com
jollatides.com
 
mpaka umekuja omba msaada hapa kama hio simu itakushinda kaka kwa kuanzia ina terminal? ni dev unlocked au ya kawaida tu. angalia kwenye hizo icons zako kwenye homescreen kama ipo
terminal
Katika pitapita yangu kwenye settings nilifika kwenye
security afu nikaklik kwenye developer mode ikanilitea madude kibao ya kuinstal na kudownload, kwa hiyo kwa sasa kuna hio icon ya terminal na nyinginezo. Ndo zinamaanisha nini?
 
Asante sana kaka kwa uchambuzi yakinifu, nimekuelewa kabisa, japokuwa hii kitu sikuwa naifahamu kabisa.
 
katika pitapita yangu kwenye settings nilifika kwenye
security afu nikaklik kwenye developer mode ikanilitea madude kibao ya kuinstal na kudownload, kwa hiyo kwa sasa kuna hio icon ya terminal na nyinginezo. Ndo zinamaanisha nini?

chief mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…