Kubadilisha NOTI kila Awamu ni Dili la Kifisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubadilisha NOTI kila Awamu ni Dili la Kifisadi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Dec 28, 2010.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Najifikiria sana hasa baada ya kila mradi inakuwa ni dili la mafisadi.

  Ni nani ajuaye bei ya kutengeneza hizo nOTI

  Je USD,STERLING POUND na EURO mbona hazibadiliki mara kwa mara??

  Naikumbuka sana Elfu kumi za Kwanza BLUBLU, Kisha WEKUNDU WA MSIMBAZI saivi tumewekewa hadi majengo ya kifisadi. TWIN TOWERS  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Bado muda kidoooogo tutaletewa NOTI ya Laki Moja:teeth:
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Ndallo,

  Hapo umenena!!
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hakuna pesa kwenye mzunguko ni mikaratasi wataiprinti kuziba pengo unambiwa Kisima cha serikali kimekauka (Hazina) hawana namna ya kujinasua umesau kipindi cha kwanza baada ya siku 100 alijitoa pale Ikulu eti amefanikiwa sasa atasemaje na siku zinakaribia,Hazina kavu ,umeme ndio huo ,mfumuko wa bei usisema,maisha magumu mara tatu yake kw nini asichape minoti iwe mingi tuanze kuijaza kwenye misoksi
   
 5. k

  kayumba JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yangu macho, najua ka kuna ufisadi ipo siku utajulikana tu! Kama ikiwa hivyo basi Mungu awajalie uzima wahusika wote tuwafikishe kwenye mkono wa sheria sio kama ilivyokiwa kwa BALALI!
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Nahofia sana isije ikawa kuna Balali mwingine.:whoo:
   
Loading...