Kubadilisha Normal Tv kuwa Smart Tv

Kubadilisha Normal Tv kuwa Smart Tv

Andres

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
505
Reaction score
829
Wakuu kuna huu kitu nimeisikia inaweza kufanyika, lakini sijajua hasa ni wapi wanafanya na gharama zake zipoje!!

Nina Tv yangu Original Lg, ya 2017 , ni Flat screen ya kawaida tu, lakini kwa sasa niko interested kuibadilisha iwe smart tv kama ni kitu kinachowezekana kufanyika..

Wenye ujuzi naomba maelezo ya hii kitu
 
Tafuta kitu kinaitwa Android Tv box

85k-150k
 
Tafuta TV box kama wadau hapo juu walivyosuggest, Ila Hakikisha inatumia android TV, kuna TV box zina Android ambazo sio version ya TV hizo ni Pasua kichwa.
 
Wakuu kuna huu kitu nimeisikia inaweza kufanyika, lakini sijajua hasa ni wapi wanafanya na gharama zake zipoje!!

Nina Tv yangu Original Lg, ya 2017 , ni Flat screen ya kawaida tu, lakini kwa sasa niko interested kuibadilisha iwe smart tv kama ni kitu kinachowezekana kufanyika..

Wenye ujuzi naomba maelezo ya hii kitu

nipm nikuuizie hiki kitu kwa bei chee
IMG_1087.jpg

IMG_1086.jpg
 
Jamani naomba Msaada Jinsi ya Kuweza Kuangalia Youtube na Mambo mengine kwenyw SmartTV?
 
Unatumia smart tv ipi maana smart tv zilizo nyingi zina youtube kabisa ambayo pre installed, iko tayari kwa kuitumia au tatizo liko wapi
 
unatumia smart tv ipi maana smart tv zilizo nying zina youtube kabisa amnayo pre installed,iko tayar kwa kuitumia au tatizo liko wap
Ndiyo Ipo Ndugu, ninachoomba Kujua ninaunganushaje na Unternet ya Kwenye Device yangu?
Ahsante.
 
Back
Top Bottom