7ve JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,569 Reaction score 4,467 Feb 16, 2014 #1 Wakuu naombeni mnisaidie samsung yangu nimeifanyia factory reset yamekuja maandishi ya kichina.niende wapi ili nibadilishe lugha iwe kiingereza.hapa nilipo nimechacha akili msaada tafadhari.
Wakuu naombeni mnisaidie samsung yangu nimeifanyia factory reset yamekuja maandishi ya kichina.niende wapi ili nibadilishe lugha iwe kiingereza.hapa nilipo nimechacha akili msaada tafadhari.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Feb 16, 2014 #2 bonyeza setting halafu angalia Hii picha kwenye my device (tab ya pili) kisha language and input (INA icon ya A yenye background nyeupe ) halafu option ya kwanza ni lugha
bonyeza setting halafu angalia Hii picha kwenye my device (tab ya pili) kisha language and input (INA icon ya A yenye background nyeupe ) halafu option ya kwanza ni lugha
7ve JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,569 Reaction score 4,467 Feb 16, 2014 Thread starter #3 chief-mkwawa said: bonyeza setting halafu angalia Hii picha kwenye my device (tab ya pili) kisha language and input (INA icon ya A yenye background nyeupe ) halafu option ya kwanza ni lugha Click to expand... Nashukuru braza maana hali ilikuwa tete
chief-mkwawa said: bonyeza setting halafu angalia Hii picha kwenye my device (tab ya pili) kisha language and input (INA icon ya A yenye background nyeupe ) halafu option ya kwanza ni lugha Click to expand... Nashukuru braza maana hali ilikuwa tete
Paul Mchumi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 1,043 Reaction score 1,279 Feb 16, 2014 #4 Ukifanikiwa usisahau kumpa like chief!